Zitto: Kama Rais, ningekuwa na ushahidi uliotolewa na Kamati na kuuamini, ningetaifisha migodi

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
tmp_24916-Screenshot_2017-06-14-17-41-18-901179407.png
 
Ni sahihi kabisa,hata ukimsikiliza yule prof wa Acacia,anaongea technical sana,win to win situation,alafu sizonje we've agreed they'll pay,what nonsense is this?,
Mwenyewe nawashangaa baadhi ya watu humu.. watalipa kwa utafiti au uchunguzi upi?? walishakataa hadharani vile viwango vilivyotajwa na kamati..
Nachoona mimi hawa watu wataka kumwelewesha rais hasahasa jinsi wao wanavyofanya kazi.. at the end of the day lazima uchunguzi ufanyike upya
 
KILA KITU KINA SHERIA NA TARATIBU ZAKE,UNAANZAJE KUTAIFISHA BILA KUZIFUATA TARATIBU HUSIKA KWANZA,HUO UTAKUWA UBABE

Kumbe ukimkamata mwizi wako wa siku nyingi utamwingiza ndani, umpikie ugali na kumnawisha mikono mjadiliane alivyokuwa anakuibia?? Kwani ni huyo Dr, Thornton alikuja kabla ya makontena ya makinikia kukamatwa au alikuja baada ya kujua limebumburuka?? Acheni kelele
 
Ni sahihi kabisa,hata ukimsikiliza yule prof wa Acacia,anaongea technical sana,win to win situation,alafu sizonje we've agreed they'll pay,what nonsense is this?,
 

Attachments

  • IMG-20170614-WA0046.jpg
    IMG-20170614-WA0046.jpg
    42.5 KB · Views: 23
Back
Top Bottom