Zitto: Kama Rais, ningekuwa na ushahidi uliotolewa na Kamati na kuuamini, ningetaifisha migodi

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,841
2,000
19105603_463878947287711_3871826290824140888_n.jpg
huyu jamaa anavutiaga bangi chooni bila shaka!
 

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,412
2,000
KILA KITU KINA SHERIA NA TARATIBU ZAKE,UNAANZAJE KUTAIFISHA BILA KUZIFUATA TARATIBU HUSIKA KWANZA,HUO UTAKUWA UBABE
Amesema kama ushahidi ungekuwa wa kuaminika mkuu. Maana yake hapo kuna uvunjaji wa mkataba upande wa mwekezaji na jinai juu. Kama mwekezaji amethibitika kuiba kwa nini isiwezekane kutaifishwa?

Vv
 

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,991
2,000
Huyu jamàa anaweza siasa za kishirikina tu mengine hana anachojua kila jambo linataratibu zake siyo kuamka tu unataifisha.
Msikimbie hoja: Zitto anawauliza kama mliiunda Kamati ya wasomi maprofesa, wakawaambia kilichoibiwa dunia nzima ikashikwa na butwaa, leo mnakaa na wezi wale kukubaliana kwa "maslahi ya pande mbili",bado mna jeuri ya kusema kwamba "ACACIA ni wezi na wanastahili kunyongwa" kama mlivyokuwa mnatamba? anachomaanisha Zitto ni kwamba hata hamuelewi kama mmeibiwa kweli au la, bali mlichokuwa mnafanya wala hamna uhakika nacho!
 

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,077
2,000
Nduo maana nashangaa eti kampuni tuliyoambiwa haijasajiliwa Tanzania bado tunaiacha iendelee kuchimba madini yetu huku tunatafuta njia ya kujadiliana nao!
Hivi ni kweli
 

Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,510
2,000
"Barrick and the Government of tanzania have Agreed to enter into discussions,in order to reach a mutually acceptabel solutions to the issue relating to the ban on the export of gold/copper concentrates as well as the future framework for ACCACIA'S Operations in Tanzania"
 

ciwajiza2

Member
Mar 20, 2017
32
95
Sinema tu....tunaomba mazungumzo yawe wazi, majibu ya mazungumzo yaletwe kwa sherehe kubwa maana watanzania tukiripwa tu hata robo ya deni inamaana hatuna shida tena na utekelezaji wa bajeti ya 2017/2018..na safari hii kila wizara itapata asilimia 100 ya bajeti yake...na kuanzia hapo nitamwaminia JPM na sitapinga tena mwenendo wake
 

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
375
500
Vitu vingine vinahitaji busara zaidi. Kama akitaifisha mgodi, hizo pesa zote tulizopotea zitapatikana vipi? Ndio maana raisi akawa mpole kwa hili na hata kukubali kukaa meza moja na hao matapeli! Angeenda kwa pipa tungebaki na mashimo yetu na hasara yetu ya miaka yote hiyo
 

mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
3,110
2,000
Huyu jamàa anaweza siasa za kishirikina tu mengine hana anachojua kila jambo linataratibu zake siyo kuamka tu unataifisha.

Nazani umeshindwa kuelewa alichoandika.
Ebu rudi soma tena, na si kusoma tu kitafakari alichoandika.
Sijui nani kakurupuka kati yake na wewe!
 

mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
3,110
2,000
Lengo watuhamishe katika mada, lengo watupoteze watupoteze lengo kutaka kutuonyesha sio kweli ya ripoti zile. Zito huyu msaliti
Dah!
Zitto anasaliti wengi....hata wewe kakusaliti?
Kuna mtu mmoja alisema Zitto hajawasaliti ila wanaolalamika ni nyumbu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom