Hivi kwa akili yako ndogo tuu nchi ikiwa na uongozi madhubuti inawezekanaje kwa ufisadi kutokea???????????Acha upuuzi kulinganisha mambo ya Mungu na huyo fisadi wenu...tambua Paul baada ya kukutana na Mungu ALITUBU NA KUPELEKWA JANGWANI MIAKA MITATU NA NUSU..KULE ALIKUWA ANATOLEWA UJINGA WOTE NDO AKARUDI KUONANA NA MITUME
SWALI: NI LINI LOWASA ALITUBU AKAKIRI KUHUSIKA NA RUSHWA UFISADI MKUBWA HAPA NCHINI??? SIKU ZOTE ANAJIHESABIA HAKI KUWA HAKUFANYA WAKATI HATA MITI NA NDEGE WANAJUA NI FISADI TANGU ENZI ZA NYERERE..ISITOSHE NA WW BADALA YA KUMWAMBIA ATUBU UNAMPIGIA CHAPUO KUWA YUKO SAHIHI..Kitu kama hukijui usiongee unajidhalilisha...
zamu ya zitto kujinyeea
Kama ni kutengenezwa, hata zito alitengenezwa na Mbowe. Lakini mbona amemsaliti? Kwa hiyo zito asishangae, mambo ya usaliti ameyaanzisha mwenyeweWaungwana hawajigambi kwa vitu walivyotengeneza.Vitu vyenyewe hujishuhudia hata watu walikuwepo.Ingekuwa hivyo akina sir. Isack Newton etal wangewacharaza hata watu viboko kuonyesha vitu walivyogundua.Hakuna aliyejenga daraja hapo wala barabara ni wakandarasi.
Kama ni kutengenezwa, hata zito alitengenezwa na Mbowe. Lakini mbona amemsaliti? Kwa hiyo zito asishangae, mambo ya usaliti ameyaanzisha mwenyewe
zzk anawivu wa kisiasa anatabia ya majivuno anapenda sifa huyu kijana anatabia mbaya
kigoma ni ACT na ACT ni kigoma du nitajitahidi mkoa wangu tuanzishe chama na vile tulivyo wengi na tukiweza shawishi tunaofanana nao aaaah 2020 nchi yetu