johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yan mtaani watu makoo yamewakauka kisa siasa acha ligi zianze tutulie kidogo
Nakumbuka bwana ZZK na Prof Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa chadema walitukanwa matusi yote ya dunia hii na matusi hayo yaliongozwa na Tundu Lissu akifuatiwa na Mnyika. Wengine kidooogo walikuwa na staha kwa sababu walijua kuna ukweli fulani Zito alikuwa anausimamia. Sitayasahau matusi yale na ndio mengine yalisababisha wengine tukajivuta chadema. Naona sasa kibao kimegeuka! KIME TURN AROUND vibaya mno. Yaani sipati picha bwana Zito na group lake watasema nini katika ku revenge kwa mafisadi hawa. Tumedanganywa kiasi hiki jamani. Tumekumbatia mauchafu yote! Aibuuuu.... hata wewe Mbowe.
Angalia umewatia viongozi wenzako matatani na madoa ambayo hayatafutika.
Labda kwa ushauri tu. Wajipambanue mapema wasepe zao, bora tubaki wenyewe kwa wenyewe tupigane mijeledi mpaka kieleweke. Hatukubali ushenzi huu
Ni kweli kabisa kama alivyosema ZZK ni bora kuwa na akiba ya maneno, yeye mwenyewe ZZK alishasema siasa basi anaenda kufundisha lakini leo yuko wapi?
Yupo anawafundisha CHADEMA kuweka akiba ya maneno.Ni kweli kabisa kama alivyosema ZZK ni bora kuwa na akiba ya maneno, yeye mwenyewe ZZK alishasema siasa basi anaenda kufundisha lakini leo yuko wapi?
hujui kwamba EL ni mshikaji wa karibu sana wa ZZK? ... hutamsikia hata siku moja anamponda maana hata humu JF kuna uzi zzk alikuwa anamkaribisha EL ACT...Nakumbuka bwana ZZK na Prof Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa chadema walitukanwa matusi yote ya dunia hii na matusi hayo yaliongozwa na Tundu Lissu akifuatiwa na Mnyika. Wengine kidooogo walikuwa na staha kwa sababu walijua kuna ukweli fulani Zito alikuwa anausimamia. Sitayasahau matusi yale na ndio mengine yalisababisha wengine tukajivuta chadema. Naona sasa kibao kimegeuka! KIME TURN AROUND vibaya mno. Yaani sipati picha bwana Zito na group lake watasema nini katika ku revenge kwa mafisadi hawa. Tumedanganywa kiasi hiki jamani. Tumekumbatia mauchafu yote! Aibuuuu.... hata wewe Mbowe.
Angalia umewatia viongozi wenzako matatani na madoa ambayo hayatafutika.
Labda kwa ushauri tu. Wajipambanue mapema wasepe zao, bora tubaki wenyewe kwa wenyewe tupigane mijeledi mpaka kieleweke. Hatukubali ushenzi huu