GE2025 Zitto Kabwe: Wanamuogopa sana Luhaga Mpina, ndio maana wakamuweka vizingiti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
"Chama chetu mnamo Agosti 06, kiliteua mgombea Urais na Mgombea Mwenza ndugu Luhaga Mpina na Mama Farma Ferej lakini Kwa sababu wanamuogopa sana mgombea wetu wakaanza kuweka vizingiti kumzuia mgombea wetu"

‎Hayo yamesemwa leo Septemba 22, 2025 na Zitto Kabwe Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo ambaye ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni Kata ya Vingunguti Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam

Lissu na Mpina ni tishio kubwa kwa Samia The Killer. Hana ubavu wa kupambana fairly!
 
"Chama chetu mnamo Agosti 06, kiliteua mgombea Urais na Mgombea Mwenza ndugu Luhaga Mpina na Mama Farma Ferej lakini Kwa sababu wanamuogopa sana mgombea wetu wakaanza kuweka vizingiti kumzuia mgombea wetu"

‎Hayo yamesemwa leo Septemba 22, 2025 na Zitto Kabwe Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo ambaye ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni Kata ya Vingunguti Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam

Tatizo la kutokuwa na misimamo. Mtakubali vipi mgombea wenu anagomewa na kutolewa halafu nyie mnaona powa toa na kuunga mkono chaguzi kama hizi.
 
Back
Top Bottom