Hawawezi kuwa serious kwa swala linalowazidi ki taaluma, na ki mamlaka !!!
Kila wakati serikali inakataa kusaidiwa maswala haya, hasa kutoka FBI, Scotland yard, Mosad nk. Lakini ni kweli kuwa UTEKAJI Tz umeshafikia kiwango cha juu mno, na police pekee bila msaada ni ngumu kufanikiwa.
Mh. Zitto Kabwe, katika ukurasa wake wa Twitter aliamua kutoa povu nae kupunguza sumu mwilini kwa kutoa mtazamo wake juu ya swala la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu barani Africa, Mohamed Dewj (Mo Dewj).View attachment 897494
Nahisi kukupa tusi mpaka kaburini kwakoMr comedy, baba wa kujiteka walahi
Hebu fikiri kama Dodoma waling'oa CCTV ili ukweli usijulikane, halafu watu wanakwambia eti dereva anakwamisha uchunguzi!!Japo wanakataa usaidizi wa nje vyombo vyetu havina uwezo huo wa kukabiliana na haya,Maana havijawahi leta matokeo chanya tangu yameanza kujitokeza
Labda usalama wa nguo za ndani za mkeweKumbe we ni usalama wa taifa walahi
Kashupalia 'walahi' kwenye kila sentensi kama vile anazitoa kielektronikiHuyo ISIS hasemi hayo kwa sababu ya ushabiki wa Yanga na Simba. Huyu ni mpumbavu fulani hivi anayeshabikia mateso kwa wenzake hasa yale ambayo serikali inahusiswa direct au indirect. Ni mpuuzi mmoja hivi ambaye anataka wanaJf waamini kwamba yeye ni Usalama wa Taifa na hivyo anayajua vizuri matukio hayo na chanzo chake. Ni Bogus fulani hivi anayejifanya kujificha kwenye msimamo mkali wa kidini akitumia neno "walah" ambayo hupenda kuliandika mwisho wa post zake, "walahi". Ni mtu wa ovyo anayedhani maneno ya ovyo kwa vitu serious yanamsaidia kujenga umaarufu JF! Ni mtu masikini wa fikra na fukara wa busara. ACHANA NAYE MKUU.
Mkuu nadhani ana sababu tofauti na ushabiki wa Yanga, sis mashabiki wa Yanga ni waungwana sanaNop I don't think he has mastermind behind this whole issue. Kwanza, hili swala litamyumbisha kibiashara sana. Pili, ana familia, mke na watoto ambao wanaweza kuathirika kisaikolojia. Tatu, serekali wasingekataa uchunguzi wa kimataifa kama kungekua na dalili hizo. Nne, sidhani kama ana muda mchafu kama huo wa kujiteka mwenyewe wakati ana mambo chungumzima ya kumuingizia hela.
Tano, huyo jamaa aliesema hivo hapo juu anamchukia tu Mo Dewj toka moyoni bila sababu, nahisi atakua shabiki wa Yanga.[emoji18]
Poa, ngoja nitengue na kuifuta kauli yangu mkuu, [emoji122]Mkuu nadhani ana sababu tofauti na ushabiki wa Yanga, sis mashabiki wa Yanga ni waungwana sana
Na kwa kutokukubali huo msaada wa kiuchunguzi ndipo hofu ya kuhusika inapoongezeka
Hatari juu ya balaa tupu, hujui mtu uamini kipi kisemwacho.Na Tamko la DAB kuwa MO ameshapatikana na watekaji wamekamatwa linashihirisha kuna jambo
Angekua kachukuliwa yeye badala ya Mo Dewj angeanzishiwa uzi wa kumtafuta na kumlilia kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]isis
ni moja ya wapumbavu wakubwa niliowah kuwaona jf
Ni zaid ya mpumbavu
Na Wewe je una busara kweli kwa povu hilo?Huyo ISIS hasemi hayo kwa sababu ya ushabiki wa Yanga na Simba. Huyu ni mpumbavu fulani hivi anayeshabikia mateso kwa wenzake hasa yale ambayo serikali inahusiswa direct au indirect. Ni mpuuzi mmoja hivi ambaye anataka wanaJf waamini kwamba yeye ni Usalama wa Taifa na hivyo anayajua vizuri matukio hayo na chanzo chake. Ni Bogus fulani hivi anayejifanya kujificha kwenye msimamo mkali wa kidini akitumia neno "walah" ambayo hupenda kuliandika mwisho wa post zake, "walahi". Ni mtu wa ovyo anayedhani maneno ya ovyo kwa vitu serious yanamsaidia kujenga umaarufu JF! Ni mtu masikini wa fikra na fukara wa busara. ACHANA NAYE MKUU.
Family ya Dewj iombe uchunguzi wa kimataifa
Kumbe na wewe umeliona hilo?isis
ni moja ya wapumbavu wakubwa niliowah kuwaona jf
Ni zaid ya mpumbavu
Wakina Mafuruki walisha kimbia Yupo zake S.AAisee,,nawashauri ndugu zangu kina Ally mufuruki wajiwekee ulinzi aisee,, sasa serikali kinachowafanya wakatae wachunguzi kutoka nje ni kitu gani aswa? Ilhali leo siku ya tatu mtu hajapatikana
HahaaaNop I don't think he has mastermind behind this whole issue. Kwanza, hili swala litamyumbisha kibiashara sana. Pili, ana familia, mke na watoto ambao wanaweza kuathirika kisaikolojia. Tatu, serekali wasingekataa uchunguzi wa kimataifa kama kungekua na dalili hizo. Nne, sidhani kama ana muda mchafu kama huo wa kujiteka mwenyewe wakati ana mambo chungumzima ya kumuingizia hela.
Tano, huyo jamaa aliesema hivo hapo juu anamchukia tu Mo Dewj toka moyoni bila sababu, nahisi atakua dishi limeyumba kidogo, WALAHI[emoji18]