Zitto Kabwe: Tunakwenda Arusha kesho


ulitaka mbowe afe ndio ufurahi, acha kutumia masaburi kufikiri, mwisho wenu umekuja haraka kuliko tulivyotaraji!
 
lazima chadema wakaomboleze. huo ni uungwana. c.c.m hawana maslahi na tukio hilo ndio maana wapo bungeni kuchangia. kama c.c.m ingelipuliwa wangeahilisha bunge. chadema wataomboleza kisha watarudi bungeni. huo ndio utaifa bila kijali majimbo watokayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…