Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
Wabunge wa CHADEMA wamesema hawatahudhuria vikao vya bunge. Tafsiri yangu ni kuwa CHADEMA KWANZA UTAIFA BAADAYE. Arusha ina mbunge wake na viongozi wake.iweje wabungu wote wa kambi rasmi ya upinzania wasiwakilishe wananchi wao? Kwa nini mlipuko umetokea baada ya MBOWE KUONDOKA. Arranged!!.
ulitaka mbowe afe ndio ufurahi, acha kutumia masaburi kufikiri, mwisho wenu umekuja haraka kuliko tulivyotaraji!