Wampe ndungai tu halafu waondoke. Wasira anaweza kuisoma, si bado ana kadi ya NCCR?Waziri kivuli wa fedha Mh.ZITTO KABWE hatasoma bajeti ya kambi ya upinzani kwani wabunge wote wa CHADEMA watakwenda ARUSHA kesho.SOURCE FACEBOOK WALL YA ZITTO MUDA HUU.
Shibuda vipi?
Kaka nimependa tu ID yako, ukienda eneo moja hivi wilaya ya Handeni 'wanapaita kwa chagga' hiyo ID ndiyo habari ya mujini.
hiyo bajet ya upinzani haina maana yeyote, ni bora waende Arusha kutafuta sifa, siasa za matukio kama kawaida yao.
Hiyo hotuba ya CHADEMA atuwekee hapa Jamvini tu maana kwa MACCM tukio la Arusha ni shangwe maana kama tungekuwa na Bunge makini kesho ingekuwa siku ya off kama walivyofanya kwenye mambo ya Mtwara, nadhani Mtwara walikatisha shughuli za Bunge kwa vile tukio lile likuwa linahatarisha maslahi ya CCM na mikataba feki na wawekezaji/wauzuajiwa raslimali zetu.
Hamtapoteza kitu waachieni Bunge wapitishe haraka haraka bajeti ya majanga, maana sisi raia hatuoni kitu hapo, Tunawashukuru sana watetezi wetu. Mungu awe nanyi katika safari ya Arusha.
Shibuda vipi?
Shibuda vipi?
Wewe ni Mtanzania au Mnyarwanda?!
na wewe kumbe ni mav. Tu huwezi kucheza na maisha ya watanzania hivi. Munaua watu halafu mnataka tubakie kimya. Suala la bajeti hata wabunge wote wawepo haitasaidia kitu maana wauaji ni wengi kuliko magwanda.wabunge wa chadema wamesema hawatahudhuria vikao vya bunge. Tafsiri yangu ni kuwa chadema kwanza utaifa baadaye. Arusha ina mbunge wake na viongozi wake.iweje wabungu wote wa kambi rasmi ya upinzania wasiwakilishe wananchi wao? Kwa nini mlipuko umetokea baada ya mbowe kuondoka. Arranged!!.
Hiyo hotuba ya CHADEMA atuwekee hapa Jamvini tu maana kwa MACCM tukio la Arusha ni shangwe maana kama tungekuwa na Bunge makini kesho ingekuwa siku ya off kama walivyofanya kwenye mambo ya Mtwara, nadhani Mtwara walikatisha shughuli za Bunge kwa vile tukio lile likuwa linahatarisha maslahi ya CCM na mikataba feki na wawekezaji/wauzuajiwa raslimali zetu.
Hamtapoteza kitu waachieni Bunge wapitishe haraka haraka bajeti ya majanga, maana sisi raia hatuoni kitu hapo, Tunawashukuru sana watetezi wetu. Mungu awe nanyi katika safari ya Arusha.
Naamini una shida kubwa kichwani! Hivi unaelewa nini kilijiri kwenye tukio la mlipuko mkutanoni au unajisemea tu, ili mradi uwafurahishe MABWANA zako?
Mbona huulizi Wabunge wa MAGAMBA wanao toroka vikao vya bunge au wanao lala ndani ya Bunge? Si afadhali hao wa KUB walio amua kwenda kwenye mazishi kuliko wa kwenu ambao wamegeuka kuwa watetezi wa serikali badala ya kuwatetea wananchi!!!
Kamuambie aliye kutuma kwamba huko ulipo nituma ni kugumu. Kuna GT na sio vilaza kama nyie!!
SHY AWAY!!!
Wabunge wa CHADEMA wamesema hawatahudhuria vikao vya bunge. Tafsiri yangu ni kuwa CHADEMA KWANZA UTAIFA BAADAYE. Arusha ina mbunge wake na viongozi wake.iweje wabungu wote wa kambi rasmi ya upinzania wasiwakilishe wananchi wao? Kwa nini mlipuko umetokea baada ya MBOWE KUONDOKA. Arranged!!.
Kaka nimependa tu ID yako, ukienda eneo moja hivi wilaya ya Handeni 'wanapaita kwa chagga' hiyo ID ndiyo habari ya mujini.
Wewe ni Mtanzania au Mnyarwanda?!