Zitto Kabwe: Serikali isikimbizane na wamachinga

Hili zoezi naliunga mkono kwa asilimia 100, ila napendekeza maeneo yaliyopangwa yatangazwe ili wanunuzi tupajue ili tuweze kwenda kuwaunga mkono, na pia nashauri wale wamachinga ambao mitaji yao ilikuwa inazidi million Moja wakatafute fremu na kukata leseni wafanye biashara kwa utulivu!! Huwezi kujiita mmachinga huku umeweka supermarket katikati ya barabara bila kuwa na leseni wala kulipa kodi!!Taifa lolote kila kipato utakachopata huna budi kulipia kodi stahiki!! Na kupangwa ndio njia pekee ya kufikiwa na TRA
 
Hatua ya kwanza kuwaondoa, hatua ya pili waoneshwe maeneo mapya ya kufanyia biashara zao, ya tatu wapangiwe namna nzuri ya kulipa kodi waje kuboreshewa na maeneo yao ya biashara, tusikariri maisha hakuna haja kurudi nyuma, riziki ya mtu hupangwa na Mungu, sio mwanadamu.
Huna akili.

Hatua ya kwanza kuwaonyesha wapi waende na hatua ya pili ni kuwaondoa.
 
Kiongozi wa kudumu wa chama cha ACT Wazalendo na mbunge wa zamani wa Kigoma ameishauri serikali kuacha mara moja kukimbizana na wamachinga na badala yake wanatakiwa kuwa wabunifu zaidi katika kushughulikia swala hilo.

Zito Kabwe amesema hamna mtu anayependa kuwa machinga na hamna mtu anayependa kufanya biashara kwenye jua huku akinyeshewa na mvua mbali ni maisha tu yanawafanya watu wawe hivyo kutokana na kukosekana kwa ajira kwa vijana nchini.

====

MwananchiHabari ZaidiKitaifa
Zitto ashauri namna ya kumaliza sintofahamu ya wamachinga
FRIDAY OCTOBER 22 2021

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ubunifu zaidi unahitajika katika kumaliza suala la wamachinga ambao hivi sasa Serikali imeanza kuwahamisha kutoka maeneo yasiyoruhusiwa.

Septemba 13 mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan aliwataka wakuu wa mikoa nchini kuwapanga wamachinga katika maeneo stahiki bila kusababisha vurugu. Amesema licha ya Serikali kutoa fursa kufanya biashara kama njia ya ajira kwao, wamekuwa wakifanya kazi katika maeno tofauti na wakati mwingine kuziba maduka ya watu.

Mchakato huo umeanza kutekelezwa katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam, ambako hivi sasa baadhi ya maeneo yaliyokuwa yanayotumiwa na wamachinga kufanya shughuli zao yamekuwa wazi baada ya kuondolewa kwa nyakati tofauti ambapo baadhi ya wamachinga wamekuwa wakilalamikia hatua hiyo.

Zitto ambaye ni mbunge wa zamani wa majimbo ya Kigoma Kaskazini na Mjini kwa nyakati tofauti, ameeleza hayo hivi karibuni wakati wa mahojiano yake na kituo kimoja cha redio kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na mwenendo wa Serikali.

Katika maelezo yake Zitto, amesema suala la wamachinga linatokana na changamoto za shughuli za kiuchumi, akidai kuwa Taifa linazalisha vijana wengi kuliko uchumi wa kutengeneza ajira.

Amesema hatua hiyo ni miongoni mwa sababu zinazosabisha vijana kuingia kwenye nguvu kazi, lakini hakuna ajira.

“Wanaamua kujiajiri wenyewe katika shughuli za umachinga, ni wajibu wa Serikali kutengeneza mazingira mazuri ili wafanyabishara kufanya shughuli zao bila bughuza.Nimesikia Kariakoo juzi watu wameondolewa na kuna malalamiko ya kwamba baadhi yao walikuwa wanapanga hadi kwenye njia za waenda kwa miguu.

“Ndio maana wanatakiwa kujenga mazuri ili wafanyabiashara hao kufanya shughuli zao kwa ufanisi, nilipokuwa mbunge wa Kigoma kulikuwa na changamoto ya kina mama wa kata ya Mwanga kufanya biashara ya samaki barabarani nyakati za jioni. Lakini walikumbana na changamoto ya kufukuzwa,” amesema Zitto.

Amesema kutokana changamoto hiyo, baraza la madiwani la Kigoma Ujiji likatafuta suluhisho la kutenga mtaa mmoja unaofungwa kila siku kwa ajili ya kutoa fursa ya kina mama hao kufanya shughuli zaio kwa ufanisi ili kujiingizia kipato.

“Ni suala linalohitaji ubunifu zaidi badala ya kukimbizana na wamachinga, Serikali inatakiwa kukaa pamoja na wafanyabiashara hao sio viongozi wao pekee bali wenyewe ili kujadiliana nao na kuweka utaratibu bora wa kufanya shughuli zao,” amesema.

Katika mahojiano hayo, Zitto ameishauri Serikali masuala mbalimbali pia katika kumaliza sintofahamu ya wamachinga ikiwemo kuwekeza zaidi katika kilimo cha kisasa kitakachowavutia vijana na kupunguza wimbi la watu kutoka vijijini kuhamia mjini kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo umachinga.

“Pia Serikali iimarishe viwanda vidogo vidogo ili kuleta ufanisi pamoja uwepo wa teknolojia itakayowavutia vijana wengi kukimbilia katika sekta hii,”amesema Zitto

Chanzo: Mwananchi
Naona siasa hapa badala ya uchumi. Wamachinga wanadumava uchumi hawa, wanachafua taswira za miji yetu, wanazuia ukusanyaji kodi, nk. Serikali inafanya vyema kwa kweli kuwaondoa mitaani na kuwapangia maeneo ya kufanyia biashara. Wakiachiwa kuendelea kutapakaa mijini bila utaratibu maalum watakuja leta shida ambayo haijawahi onekana nchi hii.

Nikubaliane naye kwenye suala la kuitaka Serikali kuimarisha kilimo ili vijana waishie huko vijijini; japo naye yupo mjini kwa sasa badala ya kuishi huko buzebazeba! Ni vyema Serikali ikaimarisha skimu za umwagiliaji ili kuleta tija kwenye kilimo na kuondokana na kilimo cha kuangalia mawingu.

Suala la kwamba Serikali ikae na Wamachinga badala ya Viongozi wao tu naona halina tija kwani viongozi ni wawakilishi sahihi wa Wamachinga. Kwa kweli zoezi hili mara hii limeenda vizuri sana, hakukuwa na mikikimikiki kama ile ya mwaka 2005; sijui kama mnakumbuka, hadi jamaa wa mabaka waliingia Msimbazi kupiga doria wakiwa ndani ya magari. Mara hii hilo halijatokea kwa kuwa kumekuwa na ushirikishwaji.
 
Kiongozi wa kudumu wa chama cha ACT Wazalendo na mbunge wa zamani wa Kigoma ameishauri serikali kuacha mara moja kukimbizana na wamachinga na badala yake wanatakiwa kuwa wabunifu zaidi katika kushughulikia swala hilo.

Zito Kabwe amesema hamna mtu anayependa kuwa machinga na hamna mtu anayependa kufanya biashara kwenye jua huku akinyeshewa na mvua mbali ni maisha tu yanawafanya watu wawe hivyo kutokana na kukosekana kwa ajira kwa vijana nchini.

====

MwananchiHabari ZaidiKitaifa
Zitto ashauri namna ya kumaliza sintofahamu ya wamachinga
FRIDAY OCTOBER 22 2021

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ubunifu zaidi unahitajika katika kumaliza suala la wamachinga ambao hivi sasa Serikali imeanza kuwahamisha kutoka maeneo yasiyoruhusiwa.

Septemba 13 mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan aliwataka wakuu wa mikoa nchini kuwapanga wamachinga katika maeneo stahiki bila kusababisha vurugu. Amesema licha ya Serikali kutoa fursa kufanya biashara kama njia ya ajira kwao, wamekuwa wakifanya kazi katika maeno tofauti na wakati mwingine kuziba maduka ya watu.

Mchakato huo umeanza kutekelezwa katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam, ambako hivi sasa baadhi ya maeneo yaliyokuwa yanayotumiwa na wamachinga kufanya shughuli zao yamekuwa wazi baada ya kuondolewa kwa nyakati tofauti ambapo baadhi ya wamachinga wamekuwa wakilalamikia hatua hiyo.

Zitto ambaye ni mbunge wa zamani wa majimbo ya Kigoma Kaskazini na Mjini kwa nyakati tofauti, ameeleza hayo hivi karibuni wakati wa mahojiano yake na kituo kimoja cha redio kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na mwenendo wa Serikali.

Katika maelezo yake Zitto, amesema suala la wamachinga linatokana na changamoto za shughuli za kiuchumi, akidai kuwa Taifa linazalisha vijana wengi kuliko uchumi wa kutengeneza ajira.

Amesema hatua hiyo ni miongoni mwa sababu zinazosabisha vijana kuingia kwenye nguvu kazi, lakini hakuna ajira.

“Wanaamua kujiajiri wenyewe katika shughuli za umachinga, ni wajibu wa Serikali kutengeneza mazingira mazuri ili wafanyabishara kufanya shughuli zao bila bughuza.Nimesikia Kariakoo juzi watu wameondolewa na kuna malalamiko ya kwamba baadhi yao walikuwa wanapanga hadi kwenye njia za waenda kwa miguu.

“Ndio maana wanatakiwa kujenga mazuri ili wafanyabiashara hao kufanya shughuli zao kwa ufanisi, nilipokuwa mbunge wa Kigoma kulikuwa na changamoto ya kina mama wa kata ya Mwanga kufanya biashara ya samaki barabarani nyakati za jioni. Lakini walikumbana na changamoto ya kufukuzwa,” amesema Zitto.

Amesema kutokana changamoto hiyo, baraza la madiwani la Kigoma Ujiji likatafuta suluhisho la kutenga mtaa mmoja unaofungwa kila siku kwa ajili ya kutoa fursa ya kina mama hao kufanya shughuli zaio kwa ufanisi ili kujiingizia kipato.

“Ni suala linalohitaji ubunifu zaidi badala ya kukimbizana na wamachinga, Serikali inatakiwa kukaa pamoja na wafanyabiashara hao sio viongozi wao pekee bali wenyewe ili kujadiliana nao na kuweka utaratibu bora wa kufanya shughuli zao,” amesema.

Katika mahojiano hayo, Zitto ameishauri Serikali masuala mbalimbali pia katika kumaliza sintofahamu ya wamachinga ikiwemo kuwekeza zaidi katika kilimo cha kisasa kitakachowavutia vijana na kupunguza wimbi la watu kutoka vijijini kuhamia mjini kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo umachinga.

“Pia Serikali iimarishe viwanda vidogo vidogo ili kuleta ufanisi pamoja uwepo wa teknolojia itakayowavutia vijana wengi kukimbilia katika sekta hii,”amesema Zitto

Chanzo: Mwananchi
Zitto, mahali pa kuisifu Serikali tenda haki kwa kuisifu, na mahali pa kuikosoa IKOSOE.

Kwenye hili umebugi big time. Hakuna machinga aliyebomolewa kibanda kwa vile machinga ni mfanya biashara aliyebeba mali mkononi isiyozidi Tsh 500,000.

Wale waliobomolewa ni wafanyabiashara wa saizi ya kati ambao huweka bidhaa zao kwenye Road reserve. Kuna watu wana bidhaa zifikazo Tsh 10 Million. Ni wakwepa kodi tu na wachafuzi wa mazingira
 
Huyu mnafiki mzito alipokuwa mwenyekiti PAC hakuna alichofanya zaidi yakuhongwa fedha, magari nk. na kujidai hajui wizi na machafu yaliyoendelea.

Nimtu wa hivihivi na hovyohovyo kuliko watu wanavyodhani! Huwa anapiga domo ili apewe position za juu lakini Ku compromise na mafisadi ni dakika.

Marafiki zake walikuwa kina lowassa,mkono nk. yaani matajiri wenye fedha zamashaka!!!
Hata chama chake cha ACT wazalendo alikiunda baada ya kupewa pesa na JK.Halafu huyu jamaa ana sifa hizi:Mnafiki, mdini ,na mchawi.
 
Hili zoezi naliunga mkono kwa asilimia 100, ila napendekeza maeneo yaliyopangwa yatangazwe ili wanunuzi tupajue ili tuweze kwenda kuwaunga mkono, na pia nashauri wale wamachinga ambao mitaji yao ilikuwa inazidi million Moja wakatafute fremu na kukata leseni wafanye biashara kwa utulivu!! Huwezi kujiita mmachinga huku umeweka supermarket katikati ya barabara bila kuwa na leseni wala kulipa kodi!!Taifa lolote kila kipato utakachopata huna budi kulipia kodi stahiki!! Na kupangwa ndio njia pekee ya kufikiwa na TRA
Inaonekana hujawahi fanya biashara hata ya genge la kuuza nyanya, mtaji wa milioni 1 utapanga fremu ya bei gani? Ulipie na leseni bado Kuna mtaji hapo?!!

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wa kudumu wa chama cha ACT Wazalendo na mbunge wa zamani wa Kigoma ameishauri serikali kuacha mara moja kukimbizana na wamachinga na badala yake wanatakiwa kuwa wabunifu zaidi katika kushughulikia swala hilo.

Zito Kabwe amesema hamna mtu anayependa kuwa machinga na hamna mtu anayependa kufanya biashara kwenye jua huku akinyeshewa na mvua mbali ni maisha tu yanawafanya watu wawe hivyo kutokana na kukosekana kwa ajira kwa vijana nchini.

====

MwananchiHabari ZaidiKitaifa
Zitto ashauri namna ya kumaliza sintofahamu ya wamachinga
FRIDAY OCTOBER 22 2021

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ubunifu zaidi unahitajika katika kumaliza suala la wamachinga ambao hivi sasa Serikali imeanza kuwahamisha kutoka maeneo yasiyoruhusiwa.

Septemba 13 mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan aliwataka wakuu wa mikoa nchini kuwapanga wamachinga katika maeneo stahiki bila kusababisha vurugu. Amesema licha ya Serikali kutoa fursa kufanya biashara kama njia ya ajira kwao, wamekuwa wakifanya kazi katika maeno tofauti na wakati mwingine kuziba maduka ya watu.

Mchakato huo umeanza kutekelezwa katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam, ambako hivi sasa baadhi ya maeneo yaliyokuwa yanayotumiwa na wamachinga kufanya shughuli zao yamekuwa wazi baada ya kuondolewa kwa nyakati tofauti ambapo baadhi ya wamachinga wamekuwa wakilalamikia hatua hiyo.

Zitto ambaye ni mbunge wa zamani wa majimbo ya Kigoma Kaskazini na Mjini kwa nyakati tofauti, ameeleza hayo hivi karibuni wakati wa mahojiano yake na kituo kimoja cha redio kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na mwenendo wa Serikali.

Katika maelezo yake Zitto, amesema suala la wamachinga linatokana na changamoto za shughuli za kiuchumi, akidai kuwa Taifa linazalisha vijana wengi kuliko uchumi wa kutengeneza ajira.

Amesema hatua hiyo ni miongoni mwa sababu zinazosabisha vijana kuingia kwenye nguvu kazi, lakini hakuna ajira.

“Wanaamua kujiajiri wenyewe katika shughuli za umachinga, ni wajibu wa Serikali kutengeneza mazingira mazuri ili wafanyabishara kufanya shughuli zao bila bughuza.Nimesikia Kariakoo juzi watu wameondolewa na kuna malalamiko ya kwamba baadhi yao walikuwa wanapanga hadi kwenye njia za waenda kwa miguu.

“Ndio maana wanatakiwa kujenga mazuri ili wafanyabiashara hao kufanya shughuli zao kwa ufanisi, nilipokuwa mbunge wa Kigoma kulikuwa na changamoto ya kina mama wa kata ya Mwanga kufanya biashara ya samaki barabarani nyakati za jioni. Lakini walikumbana na changamoto ya kufukuzwa,” amesema Zitto.

Amesema kutokana changamoto hiyo, baraza la madiwani la Kigoma Ujiji likatafuta suluhisho la kutenga mtaa mmoja unaofungwa kila siku kwa ajili ya kutoa fursa ya kina mama hao kufanya shughuli zaio kwa ufanisi ili kujiingizia kipato.

“Ni suala linalohitaji ubunifu zaidi badala ya kukimbizana na wamachinga, Serikali inatakiwa kukaa pamoja na wafanyabiashara hao sio viongozi wao pekee bali wenyewe ili kujadiliana nao na kuweka utaratibu bora wa kufanya shughuli zao,” amesema.

Katika mahojiano hayo, Zitto ameishauri Serikali masuala mbalimbali pia katika kumaliza sintofahamu ya wamachinga ikiwemo kuwekeza zaidi katika kilimo cha kisasa kitakachowavutia vijana na kupunguza wimbi la watu kutoka vijijini kuhamia mjini kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo umachinga.

“Pia Serikali iimarishe viwanda vidogo vidogo ili kuleta ufanisi pamoja uwepo wa teknolojia itakayowavutia vijana wengi kukimbilia katika sekta hii,”amesema Zitto

Chanzo: Mwananchi
Sasa kwani serikali inawakimbiza au inawapanga? Huyu nae anatafuta ku trend tuu hana jipya..

Rais keshasema wamachinga ni mradi kamili,kwa hiyo waachwe barabarani sio? Aache upumbavu huyo .
 
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!! Wewe unataka ukatapanye bidhaa za milioni moja kwenye njia ya waenda kwa miguu!? Unatakiwa ujue hata genge linatakiwa kuwa na leseni na vibali stahiki, kiwango cha kibali na gharama ya leseni inathaminishwa
 
Sasa kwani serikali inawakimbiza au inawapanga? Huyu nae anatafuta ku trend tuu hana jipya..

Rais keshasema wamachinga ni mradi kamili,kwa hiyo waachwe barabarani sio? Aache upumbavu huyo .
Huyu nae anapotea njia kwa kutafuta umaarufu kwenye mambo ya kisheria na taratibu, fikiria nyumbani kwako hata kama unawapenda vipi wanao, huwezi kuwaruhusu waweke nguo za ndani na kila kitu sebuleni!! Kinachofanyika ni kuweka vya chumbani; chumbani na vya sebuleni; sebuleni ili kuweka ustaarabu! Na pia kuwainua hawa wafanyabiashara wachanga!! Kumwambia MTU afanye biashara juu ya mtaro kwenye kingo ya barabara sio ya kuwa unampenda!! Ila kichwani kwako unamaanisha wacha ajikaange na mafuta yake!!
 
Kiongozi wa kudumu wa chama cha ACT Wazalendo na mbunge wa zamani wa Kigoma ameishauri serikali kuacha mara moja kukimbizana na wamachinga na badala yake wanatakiwa kuwa wabunifu zaidi katika kushughulikia swala hilo.

Zito Kabwe amesema hamna mtu anayependa kuwa machinga na hamna mtu anayependa kufanya biashara kwenye jua huku akinyeshewa na mvua mbali ni maisha tu yanawafanya watu wawe hivyo kutokana na kukosekana kwa ajira kwa vijana nchini.

====

MwananchiHabari ZaidiKitaifa
Zitto ashauri namna ya kumaliza sintofahamu ya wamachinga
FRIDAY OCTOBER 22 2021

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ubunifu zaidi unahitajika katika kumaliza suala la wamachinga ambao hivi sasa Serikali imeanza kuwahamisha kutoka maeneo yasiyoruhusiwa.

Septemba 13 mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan aliwataka wakuu wa mikoa nchini kuwapanga wamachinga katika maeneo stahiki bila kusababisha vurugu. Amesema licha ya Serikali kutoa fursa kufanya biashara kama njia ya ajira kwao, wamekuwa wakifanya kazi katika maeno tofauti na wakati mwingine kuziba maduka ya watu.

Mchakato huo umeanza kutekelezwa katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam, ambako hivi sasa baadhi ya maeneo yaliyokuwa yanayotumiwa na wamachinga kufanya shughuli zao yamekuwa wazi baada ya kuondolewa kwa nyakati tofauti ambapo baadhi ya wamachinga wamekuwa wakilalamikia hatua hiyo.

Zitto ambaye ni mbunge wa zamani wa majimbo ya Kigoma Kaskazini na Mjini kwa nyakati tofauti, ameeleza hayo hivi karibuni wakati wa mahojiano yake na kituo kimoja cha redio kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na mwenendo wa Serikali.

Katika maelezo yake Zitto, amesema suala la wamachinga linatokana na changamoto za shughuli za kiuchumi, akidai kuwa Taifa linazalisha vijana wengi kuliko uchumi wa kutengeneza ajira.

Amesema hatua hiyo ni miongoni mwa sababu zinazosabisha vijana kuingia kwenye nguvu kazi, lakini hakuna ajira.

“Wanaamua kujiajiri wenyewe katika shughuli za umachinga, ni wajibu wa Serikali kutengeneza mazingira mazuri ili wafanyabishara kufanya shughuli zao bila bughuza.Nimesikia Kariakoo juzi watu wameondolewa na kuna malalamiko ya kwamba baadhi yao walikuwa wanapanga hadi kwenye njia za waenda kwa miguu.

“Ndio maana wanatakiwa kujenga mazuri ili wafanyabiashara hao kufanya shughuli zao kwa ufanisi, nilipokuwa mbunge wa Kigoma kulikuwa na changamoto ya kina mama wa kata ya Mwanga kufanya biashara ya samaki barabarani nyakati za jioni. Lakini walikumbana na changamoto ya kufukuzwa,” amesema Zitto.

Amesema kutokana changamoto hiyo, baraza la madiwani la Kigoma Ujiji likatafuta suluhisho la kutenga mtaa mmoja unaofungwa kila siku kwa ajili ya kutoa fursa ya kina mama hao kufanya shughuli zaio kwa ufanisi ili kujiingizia kipato.

“Ni suala linalohitaji ubunifu zaidi badala ya kukimbizana na wamachinga, Serikali inatakiwa kukaa pamoja na wafanyabiashara hao sio viongozi wao pekee bali wenyewe ili kujadiliana nao na kuweka utaratibu bora wa kufanya shughuli zao,” amesema.

Katika mahojiano hayo, Zitto ameishauri Serikali masuala mbalimbali pia katika kumaliza sintofahamu ya wamachinga ikiwemo kuwekeza zaidi katika kilimo cha kisasa kitakachowavutia vijana na kupunguza wimbi la watu kutoka vijijini kuhamia mjini kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo umachinga.

“Pia Serikali iimarishe viwanda vidogo vidogo ili kuleta ufanisi pamoja uwepo wa teknolojia itakayowavutia vijana wengi kukimbilia katika sekta hii,”amesema Zitto

Chanzo: Mwananchi
Zito aache cheap politics..naona anataka kuleta swaga za mwendazake..nchi haiwezi kwenda bila utaratibu kwamba kila mtu afanye biashara popote hiyo haiwezekani..pili hajaja na solution zaidi ya kulalamika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanasiasa nao wasituchanganye kabisaaa! Wao hao hao ndio walikuwa wanapiga kelele kwamba miji imechafuliwa na vibanda vya machinga, sasa yanaona serikali inalifanya kwa ufasaha yanaanza porojo, pumbavu kabisa!
 
Wanasiasa wetu ni shida mkuu, especially hawa wanaojifanya wanajua kupayuka majukwaani!!
 
Tafuta mali kwa jasho lako kenge wewe
Ni bora wazazi wako wangetumia Kinga siku mimba yako imetungwa wewe tahira, hata watu wanaokuita humu LMB buku 7 wanakosea sana, Lumumba hawawezi kurecruit tahira kama wewe
 
Back
Top Bottom