Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
KATI YA WATU AMBAO WANA WAKATI MGUMU HAPA DUNIANI NI MTOA MADA. SIJUI ANAJISIKIAJE HUKO ALIKO! KAMA LEMA NDO KAITUMA HII DIV5 BASI POLE YAKE!!
CHADEMA INA WABUUNGE VILAZA WAWILI AMBAO NI LEMA NA SHIBUDA.
#www.teamzitto.com.
wakajipange sana tu.........,
Ukishakuwa verified member hupaswi kufanya huu ujingaThere are currently 80 users browsing this thread. (22 members and 58 guests)
Kwa sababu m4c inakusanya pesa za wiziSasa hapo ndo namshangaa ZZK. Kwa nini asipeleke kwenye account ya M4C ikaelimishe wananchi ili 2015 wabunge wa CDM waongezeke hoja ya kufuta posho ipite?
Mkuu Kitila Mkumbo, kitendo cha Zito kujijenga kwa mtindo wa kujitenga na wenzake kunatia shaka. Kumbuka wakati wa uchaguzi wa 2010, wagombea kadhaa wa ubunge waliopigiwa debe na Zito, baada ya uchaguzi kulikuwa na tetesi kuwa waliuza ushindi wao kwa maccm, mfano ni jimbo la Mbozi Mashariki, jimbo la Mbeya vijijini, jimbo la Kibaha na Jimbo la Musoma vijijini kunatia shaka pia. Mkuu Mkumbo, kulikuwa na tetesi pia kuwa wewe ni mtu wa karibu sana na Mhe. Zitto penginge unaweza kutuondolea wasiwasi juu ya mwenendo wa Zitto unaotia shaka?Uhhh! Ndio walipotufikisha haya majamaa ya ccm. We no longer believe people can do things for good intentions. Everything good you do watu wanafikiri ni uchaguzi. Can we get out of the cage for a moment?
Mkuu mimi sipo upande wa ZITTO lakini tambua unapoanzisha thread kama hii unaianika akili yako na kuiweka katika watu wasio na ufahamu wa kutosha juu ya masuala ya Fedha, hii Risiti upewa mtu pale yeye anapolipa fedha na ndio maana kinachoonekana hapo ni kuwa Zitto ndio aliyetoa pesa na sio aliyepokea.Jitahidi kuchunguza kitu kabla ya kupost kwani hii iliisha wasilishwa hapa jana na ilijadiliwa na makosa mengi yalionekana nashangaa leo unaibuka nayo tena. Kwa hiki unachokifanya naona unaondelea kumpaisha Zitto badala ya kumshusha.
Ndio maana wewe si Zito, let Zito be Zito and You be You!
swala la posho ni swala binafsi zaidi siyo la kumsemea mtu kwa vyovyote vile kwahiyo zito anahesabu zake.
Mkuu Kitila Mkumbo, kitendo cha Zito kujijenga kwa mtindo wa kujitenga na wenzake kunatia shaka. Kumbuka wakati wa uchaguzi wa 2010, wagombea kadhaa wa ubunge waliopigiwa debe na Zito, baada ya uchaguzi kulikuwa na tetesi kuwa waliuza ushindi wao kwa maccm, mfano ni jimbo la Mbozi Mashariki, jimbo la Mbeya vijijini, jimbo la Kibaha na Jimbo la Musoma vijijini kunatia shaka pia. Mkuu Mkumbo, kulikuwa na tetesi pia kuwa wewe ni mtu wa karibu sana na Mhe. Zitto penginge unaweza kutuondolea wasiwasi juu ya mwenendo wa Zitto unaotia shaka?