Hivi Mbowe huwa anarudisha posho za vikao?... swali tu mkuu.
Hivi DOWANS wamekuibia nini?.... tunmetumia umeme wao kwa miezi kumi. Kwa bei rahisi na kwa uhakika kuliko Songas. Halafu hatujawalipa, kisa mkataba uliingiwa kifisadi. Kwani wsalimshikia mtu bunduki ili wasaini mkataba?
Wabunge wetu walichemka walipositisha mkatabawa DOWANS, fundi katengeneza gari lako halafu hutaki kumlipa kwa sababu hana digrii wakati gari inatembea.
Inakuja akilini hiyo? Au ushabiki tu?
Hivi anachotafuta zk ni nini? Cheap popularity for 2015 presidential candidancy au The Tanzanian lost patriotic spirit? Nadhani ni vyote.
Haaa! haaa! sound like a soccer fan, For Ronaldo but against Madrid under Morinho - Problem is he can't win alone!
Namfagilia sana Zitto, lakini hilo la kusema attitude of Independent thinking ndio tatizo kubwa..We all stand for what we believe lakini lazima liwe ktk msahafu. Huwezi kuwa Muislaam kama hufuati Kuran, au Mkristu kama hufuati Biblia na itakuwa vigumu zaidi kuhubiri watu wakakuamini nje ya imani wanazozifahamu hata kama uko sawa...Sana sana watakushangaa kuona mtu kama wewe huna imani na dini.
Hivi mbowe amewahi watetea dowans walipwe?......swali tu mkuu. Kwa akili ya kawaida kabisa mtu wawezaje kutetea malipo ya dowans kama huna interest huko. Jaribu kufikiria billions zinazo husishwa na dowans halafu mtu anabandika hivi vielfu 50 na 60 hapa kutafuta umaarufu wa kisiasa, mbaya zaidi kuna wapambe ameshawapata hapa wanaamsifia. Zito tuambie kwanini unawatetea hawa wezi wetu walio tuibia mchana kweupe walipwe kama huna interest huko?
asante mkuu mm ni cdm lkn huyu dogo simwaminiUmenena vyema mkuu, huyu dogo anataka aonekane mtetezi wa wananchi lakini ni ndumilakuwili, aje hapa akanushe kama hajahongwa gari yenye thamani ya milioni 100 sio kubandika risiti za elfu 60 na 50.
Thanks bro! Nilikuwa natafuta lugha muafaka kuelezea hili.Zitto ni mzuri sana kwenye maeneo mengi ila hufikiri na kuamua independently in a wrong time and wrong place.hili la posho haina ubishi amekuwa mfano wa kukumbukwa.pengine anavyozidi kuwa mtu mzima tumtarajie kuzidi kubadilika na pengine kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki!Haaa! haaa! sound like a soccer fan, For Ronaldo but against Madrid under Morinho - Problem is he can't win alone!
Namfagilia sana Zitto, lakini hilo la kusema attitude of Independent thinking ndio tatizo kubwa..We all stand for what we believe lakini lazima liwe ktk msahafu. Huwezi kuwa Muislaam kama hufuati Kuran, au Mkristu kama hufuati Biblia na itakuwa vigumu zaidi kuhubiri watu wakakuamini nje ya imani wanazozifahamu hata kama uko sawa...Sana sana watakushangaa kuona mtu kama wewe huna imani na dini.
EMT,
Heshima mbele, mkuu mbona wanitisha! umeweza vipi kuzipata stakabadhi hizi..
jamaa mshamba sana halafu anapenda kusifiwa na kuwa juu,muda wake utafika atatoweka kwenye ulimwengu wa siasa,anaungwa mkono na vigeugeu wenzake kama huyu aliyeleta mada
I will vote for Zitto even if I am not a supporter of Chadema nor CCM.
Zitto is a politician of my calibre (liberalist) and that attitude of independent thinking and having a stand on what you believe in even if it appears to be unpopular to many of us but it is in the interest of the nation. Good one mkuu tuko pamoja.
jamaa mshamba sana halafu anapenda kusifiwa na kuwa juu,muda wake utafika atatoweka kwenye ulimwengu wa siasa,anaungwa mkono na vigeugeu wenzake kama huyu aliyeleta mada
Mbona amekuwa akichukua kwa zaidi ya miaka mitano (5) baada ya kula ule mrabaha mnono wa Barrick na hongo za Rostam ndiyo ameona posho ndogo hazina mpango? Zitto usichuuze watu.Last week I attended four meetings in Kigoma in my capacity (and as part of my job, which people elected me to do) as MP of Kigoma Kaskazini. I attended meetings at the Constituency Development Fund Committee, District Council, Road Board and Regional Consultative (RCC). In all of these meetings participants are entitled to receive posho (sitting allowance). This is how to say NO to posho and stand by it:
In keeping with my stand I said NO to the posho. However, I signed for it and took it - in order then to go round the technicality of returning back the posho to the Government to show that my statement is not just rhetoric but action. We have to walk the talk. Above photo illustrates the receipt showing the payment I made back to the Government for the Road Board meeting. Lets cut down on unnecessary expenditure and direct this money to our development budget to spur development and growth.
TUNAWEZA!
Say NO to Posho! « Zitto na Demokrasia
jamaa mshamba sana halafu anapenda kusifiwa na kuwa juu,muda wake utafika atatoweka kwenye ulimwengu wa siasa,anaungwa mkono na vigeugeu wenzake kama huyu aliyeleta mada
mkandara Zitto amerejesha posho au kwa lugha nzuri ameilipa serikali. ili malipo yawe halali amepewa stakabadhi(risiti0 stahili.Ni haki haki yake azipate. usifikiri katumia umafya kuzipata. that is grr yaani govt receiptEMT,
Heshima mbele, mkuu mbona wanitisha! umeweza vipi kuzipata stakabadhi hizi..
mkandara Zitto amerejesha posho au kwa lugha nzuri ameilipa serikali. ili malipo yawe halali amepewa stakabadhi(risiti0 stahili.Ni haki haki yake azipate. usifikiri katumia umafya kuzipata. that is grr yaani govt receipt
Ha ha ha!Nimeipenda hii!Hata hivyo unataka kuniambaia hatataja hayo kwenye kampeni zake?Ama hamtayataja kwenye kampeni?So elewa polical adversaries wenu watatafsiri hivyo.Maybe sisi wananchi wa kawaida ndiyo sasa tutatafsiri kuwa "anatupigania" haki zetuUhhh! Ndio walipotufikisha haya majamaa ya ccm. We no longer believe people can do things for good intentions. Everything good you do watu wanafikiri ni uchaguzi. Can we get out of the cage for a moment?