Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,231
“Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema
Zitto amesisitiza kuwa CCM haitadumu madarakani milele, akisema kuwa muda wake umekwisha, na kwamba mfumo wa kidemokrasia unaruhusu mabadiliko ya mamlaka kwa njia ya kura.
Akizungumza Julai 10, 2025 katika mkutano wa hadhara katika Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma,