Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Wana jamvi.
Jana ilikuwa siku ya Bunge kuujadili muswada wa vyama vya siasa.
Zitto akiwa anakabiliwa na kesi ya uchochezi iliyomlazimisha kuchagua pakuhudhuria kati ya Mahakani (Dar es Salaam)au Bungeni(Dodoma).
Wengi walitamani kumsikia kuona Zitto akihudhuria mahakamani ili kuruka mtego uliomnasa Mbowe na Matiko .
Wale ant-hoja na wanaokereka na fact za Zitto Kabwe Bungeni ,walishangilia kuona Zitto anakosekana Bungeni.
Waliamini hoja za aki na Kibajaji zitatumika kuudanganya umma juu ya ukweli kuhusu ubovu wa muswada wa vyama vya siasa.
Asubuhi yake Zitto akaonekana viwanja vya mahakamani(Kisutu).
Chakushangaza na kushtua ni pale Zitto alipoibuka ghafla Bungeni katikati mwa mjadala .
Mara pap Zitto akapewa nafasi ya kuchangia,aliyoyasema kila mmoja amesikia.
Jambo kubwa nililojifunza,Wabunge wa upinzani wapo Active sana kunapokuwepo na maswala ya kitaifa.
Huu uzalendo niwakupigiwa mfano,hii ndio aina ya wabunge wanaotakiwa kuwa majority 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app