Zitto Kabwe ni mfano wa kuigwa, aenda mahakamani kumpa sapoti Tundu Lissu

Mkuu Kada wa Chadema, it's the other way round, Chadema ndio inamuhitaji Zito kuliko yeye anavyo ihitaji Chadema.

Amini nakuambia kama asingefukuzwa, saa hii tunavyo zungumza hapa, Chadema ingekuwa Ikulu.

Wana Chadema wengi ni vipofu wa kuona mbali, mna macho lakini hamuoni! . Kwa sasa kwenye lineup yenu, hamna mtu yoyote mwenye the abilities na capabilities za kumkabili Magufuli 2020!. Jamaa yetu alijitahidi sana ile 2015 kwa kumkabili CCM na Magufuli, by that time, Magufuli was nothing!, lakini kwa 2020 Magufuli will be everything, he will be too much for him, and also his time is up, it will be too little too late, hivyo Chadema/Ukawa haina kabisa mtu zaidi ya ZZK.

Paskali.
Rejea za ZZK
Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya

Urais wa ZZK 2015 Kupitia Chadema: Kwa nini Wanatetemeka!, Kuweweseka! na Kutishika?!.

Kilichomkuta Zitto: Kuna mkono wa Mtu! Yajue makundi 10 ya wanaompinga Zitto...
 
Wana chadema wengi ni vipofu? Nakuhurumia sana Paskali kwa kujitafutia taabu ya majina utakayo itwa.
Hukupaswa kusema hivyo maana Chadema sio hawa waliopo tuu hapa JF bali Chadema ni sehemu ya Tanzania na lugha za aina hiyo kutoka kwako sio sahihi.
 
Umewahi kwenda porini kuangalia wanyama? Fahari wawili, nyati, wanapokabiliana na simba, hawakumbuki tena kugombana kwa ajili ya kupandia majike. Wanamshambulia simba pamoja. Baada ya simba kukimbia ndio wanageukiana tena. Kama wanyama wana hiyo silka itakuwa binadamu?
Kwa hivyo Mbowe na Zitto watarudia ugomvi wao tena hapo 2020?
 
Wana chadema wengi ni vipofu? Nakuhurumia sana Paskali kwa kujitafutia taabu ya majina utakayo itwa.
Hukupaswa kusema hivyo maana Chadema sio hawa waliopo tuu hapa JF bali Chadema ni sehemu ya Tanzania na lugha za aina hiyo kutoka kwako sio sahihi.
Mkuu Chakaza, kwanza pole na wana Chadema wengine wote pia poleni, ila huu ndio ukweli wenyewe, 2015 Ikulu ilikuwa ni yenu kabisa!. 2020 the chances are slim ila kupitia kwa watu capable kama ZZK, you still have a chance.

Nimesema mna macho lakini hamuoni kwa sababu kulikuwa na kila sababu za kushinda, ila haikufanya the right thing.

CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni .....!

CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015

CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

Paskali
 
Mkuu nimekuelewa, ila Ngoja nichomekee, hako kaneno kamwisho '' ubatizo wa moto" kana maana gan?
 
Kwenye hii ishu madawa ndio kuna kituko kimetokea cha maadui wawili wa kisiasa, ambapo ilitikea wakaa meza moja nao ni Zitto na Mbowe.

Hakuna asiyejua kilichotokea kati ya Mbowe na Zitto. Kwa matusi yale aliyokuwa akitukanwa Zitto hungeweza kufikiri kama ipo siku Zitto atasimama kumtetea Mbowe na kuungana kuwa kitu kimoja.

Hii ikanikumbusha kisa kimoja kwenye Biblia. Biblia inasema kwenye kitabu cha Agano Jipya kwamba wakati ule wa kuteswa kwa Yesu, majabali wawili Herode na Pilato walipatana kwa mda kwa sababu ya kesi ya Yesu kwani hapo kabla walikuwa na uadui mkubwa!

Yesu alipatanisha maadui ili wamsulubu

Hakika Magufuli amewapatanisha Mbowe na Zitto, wameungana kumsulubu Magufuli.

Magufuli kawababtiza ubatizo wa moto.
Zito ni kama ana taahira ya Akili na mtindio wa ubongo vile!
 
Kwa tunayemfahamu Zitto Kabwe hatushangai juu ya hii shauku aliyonayo kwa CHADEMA. Tunajua nini kinachoendelea na nini anahitaji kwetu. Pia tunapaswa kujiuliza kwa nini Zitto Kabwe kajisimika CHADEMA baada ya kutoweka kwa Ben Saanane, hasimu yake mkubwa ambaye aliwahi kuripotiwa kuwa anatembea na sumu ya kumuua.

Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Zitto Kabwe atakuwa na manufaa ndani ya CHADEMA na UKAWA. Siamini kama kuna tija yoyote tutaipata kutoka kwake. Zitto Kabwe ni mnafiki na msaliti. Hiyo ndio tabia yake ya asili ambayo katu hawezi kuiacha.

Tusihadaike na haya makelele anayopiga kumpinga Rais Magufuli. Hakuna kitu hapo. Kama hoja ni kelele basi hata chura anazo. Huyu anang'ata upande huu na kupuliza. Anachukua mlango huu na kujificha mlango mwingine. Kwani hatujui kuwa ule mkataba wa Zitto na kiongozi fulani mkubwa tu bado unafanya kazi? Tena analipwa kiasi kikubwa cha fedha kwa lengo la kuwaangamiza upinzani. Ina maana Mbowe hujui? Je na wewe Tundu Lissu hujui? Mbona hili hulisemi?

Nawahakikishia kwa mwendo huu wa kumkumbatia Zitto hakika 2020 tutajikuta anatetea jimbo lake la Kigoma Mjini na sisi tunapoteza majimbo mengi. Hapo tusahau kabisa nafasi ya urais. Zitto yupo kwa maslahi binafsi na atafanya kila njia kuhakikisha kuwa tunamuaccomodate kwenye UKAWA ili kura zetu zimsaidie kutetea jimbo lake. ACT Wazalendo ni kama kimekufa. Kimepoteza mvuto na watu wanakikimbia. Kule Kigoma CCM inakuja kwa kasi sana na Zitto anaiona kasi hiyo.

Hebu niwaulize wana CHADEMA, ni nini hasa tutanufaika kwa kujiunga pamoja na Msaliti Zitto Kabwe? Ni kiongozi gani mwingine ndani ya ACT yupo pamoja na Zitto kujikurubishwa kwa CHADEMA na UKAWA? Nani?

Kwako wewe Lowassa ni lulu na hazina kuliko zito

Lowassa aliipinga katiba ya warioba, lowasa ni fisadi aliyebobea na kupata vyeti vyote

inaonekana una akili kuliko Mbowe na Lissu, kawe mwenyekiti
 
Safi kabisa zitto ile collabo yake juzi naona ccm wanaweweseka!
Nia yenu muone wapinzani wanaparaganyika kama mlivyofanya kwq lipumba
 
Mkuu Chakaza, kwanza pole na wana Chadema wengine wote pia poleni, ila huu ndio ukweli wenyewe, 2015 Ikulu ilikuwa ni yenu kabisa!. 2020 the chances are slim ila kupitia kwa watu capable kama ZZK, you still have a chance.

Nimesema mna macho lakini hamuoni kwa sababu kulikuwa na kila sababu za kushinda, ila haikufanya the right thing.

CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni .....!

CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015

CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

Paskali

Asante kwa uungwana wako. Lakini kumbuka 2015 election na mambo ya Tume, matumizi ya dola, wizi wa kura, udhibiti wa media nk yalivyo changia. Labda ungeshauri kuhusu kuhakikisha tume huru inaundwa na sheria za matumizi ya wakuu wa wilaya na mikoa kuangaliwa upya kabla ya kuingia kwenye uchaguzi nadhani ingefaa sana.
Ccm ni wepesi sana kama tulivyoona Zanzibar na kilichotokea
 
Pamoja na Tundu Lissu kutumia muda wake mwingi kumshambulia Zitto kuliko muda aliokaa kuwatumikia wapiga kura wake huko jimboni kwake Singida, mwanasiasa bora kijana ameweza kusahau yote aliyotendewa na kutimba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenda kutoa support kwa mbunge Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi lukuki.

Leo Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio, Jabir Idrisa na Simon Mkina wanaendelea na kesi inayowakabili.

Wabunge/wanasiasa igeni busara za Zitto Kabwe.

View attachment 470367
ameenda kusikiliza hamna support yoyote, kwani kuna kitu amefanya hapo cha kumtetea tundu lissu dhidi ya tuhuma zinazomkabili?
 
Mleta mada ni mtu wa ajabu kwanza umeishasikia kuhusu ACT??ipo haja ya yeye kujitazama upya vinginevyo atasahaulika asipo kuja kwa wengi atakuwa kama
"Genda Heka"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom