Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,786
Pamoja na Tundu Lissu kutumia muda wake mwingi kumshambulia Zitto kuliko muda aliokaa kuwatumikia wapiga kura wake huko jimboni kwake Singida, mwanasiasa bora kijana ameweza kusahau yote aliyotendewa na kutimba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenda kutoa support kwa mbunge Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi lukuki.
Leo Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio, Jabir Idrisa na Simon Mkina wanaendelea na kesi inayowakabili.
Wabunge/wanasiasa igeni busara za Zitto Kabwe.
Leo Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio, Jabir Idrisa na Simon Mkina wanaendelea na kesi inayowakabili.
Wabunge/wanasiasa igeni busara za Zitto Kabwe.