WAKUU!
Hapa hoja yangu sio vita au uadui. Nimejiuliza kwamba, iweje aweze kuitikia wito wa Magogoni kwa haraka na bila mawasiliano kukatika na kuungana na Mkulu, lakini kwenye la M4C mawasiliano yalikatika na hatukumuona kabisa licha ya kuahidi kuhudhuria kama tulivyo taarifiwa?