Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Haya baada ya kiki ya ,,Baa la njaa" kuchuja sasa Zito Kabwe kaja na hili lingine ,,amejipoteza" , madai yake kwamba anatafutwa na vyombo vyetu vya Usalama, hivi hawa watu, huwa nani ni mshauri wao? Kwa maana, Duh!
Hivi kama Vyombo vyetu vya usalama vinakutafuta unaweza kujificha kweli? Na kwa nini usiende kituoni kusikiliza wanatakutafutia nini kama wewe hauna tatizo?
Zito Kabwe hana tofauti na Edward Lowasa wote ni attention seeking kama watoto wadogo!