RugeWashington
Member
- Dec 7, 2020
- 12
- 12
Ni kuzoezwa tu, sawa na mazoea ya hotuba za kila mwisho wa mwezi, mbona hatunazo sasa hivi na tumezoea?Zamani wakati anazindua live, anateua live, anatumbua live, anahutubia live, alikuwa Doll la hayo maonyesho? Kwani ugumu wa yeye kujitokeza hadharani kuwasalimia wafuasi wake na kuwaziba midomo wapinzani wake, uko wapi?
Kwa hiyo unataka useme HAUMWI!! Ok.Ni kuzoezwa tu, sawa na mazoea ya hotuba za kila mwisho wa mwezi, mbona hatunazi sasa hivi na tumezoea?
Anachapa kazi kuzimuNi kuzoezwa tu, sawa na mazoea ya hotuba za kila mwisho wa mwezi, mbona hatunazi sasa hivi na tumezoea?
We relax, Rais wetu mpendwa anamalizia mfungo wa quaresma! Yupo 'mlimani' kama unajua maana ya hizo jagons!".....huko alipo" ina maana hajulikani alipo sio? Mkuu mbona wananchi tumezoea siku zote kujua kama mhe rais yupo dodoma ama dar ama chato lakini safari haijulkan ndo maana unaona kelele zimeibuka.
Ulikwenda wewe huko!? Magufuli yupo kwa walio hai siyo kuzimu! And soon atatokea akiwa na afya yake iliyoboreka zaidi, Mungu ni Mwema!Anachapa kazi kuzimu
Magu tunamjua watanzania; yule si wa eti kukaa ndani siku 18 kama ni mzima!!Wapi imeandikwa kwamba lazima Rais aonekane hadharani au ikipita wiki mbili hajaonekana basi atafutwe alipo.
Nani anampenda? labda CCM. Tunasubiri "habari" ya kupendeza masikio ya wanyonge tusuuzike!Kumbe wapinzani wanampenda Magufuli kiasi hiki?
Aya boss kubwaKatiba imefanyaje. Unaijua ratiba ya Rais. Amekwambia anaumwa. Je mliposema kaenda Ujerumani na wakati yupo Dar hiyo katiba ilikuwa inasemaje. Mmepoteza credibility kwa kuwa hamna nia njema. So msianze kusingizia katiba. Nani kawaambia Rais hafanyi kazi zake. Zitto umeandika ujinga kabisa.
Idegenda poleni sana hamuwezi kukataa mambo ya wazee wenu!!! Anza benda chato kwa maziko!Una hasira sana na umepanic vibaya mno! Utakufa kabla ya muda nyau we!
Yani unataka kila nyie wahuni mkihoji rais yuko wapi aje kuwajibu nipo? Pumbavuuu...
Nkishakwambia hata mhuni mwennzenu amterdam alimwandikia vibarua vingi sana lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji akijitokeza kujibu! Sembuse nyie wahuni tunawajua kabisa?
wamekuwa wapoleeeeeGenge la Wasiojulikana lianze kutajwa hadharani na kusakwa
Wahusika ni serikali hasa waziri mkuu telephone aliye danganya umma kwenye nyumba ya ibada
Kuna kitu kinamsumbua!!!!!Zito mwepesi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unamjua Zitto vizuri?Nyie wapinzani wapumbavu sana hasa Lissu
Juzi mmesema Rais amelazwa nchini Kenya, mara amepelewa India ,mara amekufa.Pumbafu kabisa.
Leo mmekuja na ngojera Nyengine mara Yuko paralysed one side .Pumbafu sana nyie.hamna akili kabisa.we watch you .nchi Nyengine watu kama nyie mnafuatwa Huko mliko.