Zitto Kabwe : Nani anamiliki rasilimali za nchi

Zitto Kabwe : Nani anamiliki rasilimali za nchi

Status
Not open for further replies.
Huna jipya wewe tushakuchoka, dhambi ya usariti itakutafuna maisha yako yote, laana ya watanzania ijuu yako, unatia kinyaa.
 
Nani anamiliki rasilimali za nchi?

Wapiga kura wake wanaaibika maporini na reli yeye kazi yake kupiga dili hatutaki wimbo wenu rasilimali ,nendeni bungeni susieni vikao mpka fedha za kujenga reli ya kati zipatikanike .Sisi wazalendo tutawaunga mkono sio kujipendekeza ovyo kwa rais huku reli mbovu.
 
Ukisikia mwafrika anakubalika Ulaya ujue anatumika kunyonya waafrika wenziwe. Akiwa upandewa waafrika atachukiwa kama Mugabe wa Zimbambwe anayependwa kama Mandela amewaachia wazungu wahalifu kwa maridhiano kutowabughudhi waendelee kuchimba madini na kumiliki ardhi yenye rutuba. Mtu mwenye uzoefu wa kununulika hata na CCM atashindwa kununulika na Barick?
Huyu kichwa hata Ulaya wanamkubali.
 
huna lolote zzk unajiita jasiri mbona unambwela kutaja wenye mabilioni uswis...?? unaruka ruka tu kama ndama...:llama:
kwa 'ujasiri' aliouonyesha kwenye kuyataja 'madhambi' ya Mwenyekiti wake, isingelikuwa usanii basi huo huo ungelitaja walau majina mawili ya Uswizi!
 
Ameanza tena usanii ili 'wamkatie'? kwa sasa kumakatia hakuna tena ameshadoda! kula vya halali sasa vya 'kunyonga' bye bye!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom