dad24
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 464
- 121
NANI ana miliki ya dhahabu yote iliyogunduliwa Tanzania hivi sasa? Nani ana miliki yote ya misitu iliyopo nchini? Nani ana miliki ya gesi asilia iliyogunduliwa hivi karibuni mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara? Watanzania wachache sana wanayo majawabu ya maswali haya.
Inasikitisha hata Watanzania tuliopewa fursa ya kuwaongoza wenzetu milioni 45 hatuna majawabu na wala hatutafuti majawabu ya swali hili. Viongozi tunawaambia wananchi kwamba maliasili ya nchi ni mali ya umma. Ni kweli mali ya umma? Umma ni nani? Hebu tuangalie mfumo wetu wa miliki ya rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia.
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haisemi lolote kuhusu miliki ya utajiri wa taifa. Isipokuwa katika ya kifungu cha tisa (c) na (i) na ibara ya 27 (1) suala la maliasili ya nchi limewekewa masharti ya Katiba.
Ibara ya 9 (c) inasema shughuli za serikali zitatekelezwa kwa njia ambazo zitahakikisha utajiri wa taifa unaendelezwa, unahifadhiwa na --------- kwa manufaa ya wananchi wote kwa ujumla na pia kuzuia mtu kumnyonya mtu mwingine. Ibara ya 9(i) inasema matumizi ya utajiri wa taifa yatatilia mkazo maendeleo ya wananchi na hasa zaidi yanaelekezwa kwenye jitihada ya kuondosha umasikini, ujinga na maradhi.
Ibara ya 27 inahusu wajibu wa raia kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano. Ibara ya 9 kuna masharti ya Katiba ya kujenga Ujamaa. Hakuna ibara ya Katiba inayozungumzia miliki ya utajiri wa taifa. Suala hili liliachiwa sheria zilizotungwa na Bunge. Kwa suala utajiri tuliochagua kufanyia kazi katika makala haya sheria hizo ni Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 na Sheria ya Utafutaji wa Mafuta ya Mwaka 1980.
Nani anamiliki madini nchini?
Sheria ya madini ya mwaka 2010 imesema madini ni mali ya umma, hata hivyo, imeweka masharti ya kuhamisha umiliki huu kwa watu na kampuni binafsi kwa mtindo wa leseni.
Dhahabu ni mali ya umma pale tu utafutaji wake na hatimaye uchimbaji haujatolewa kwa mtu binafsi. Leseni ikishatolewa miliki (mineral right) inahamia kwa - Soma zaidi hapa: Zitto Kabwe : Nani anamiliki rasilimali za nchi - AJIRAZETU BLOG ana miliki ya dhahabu yote iliyogunduliwa Tanzania hivi sasa? Nani ana miliki yote ya misitu iliyopo nchini? Nani ana miliki ya gesi asilia iliyogunduliwa hivi karibuni mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara? Watanzania wachache sana wanayo majawabu ya maswali haya.

Dhahabu ni mali ya umma pale tu utafutaji wake na hatimaye uchimbaji haujatolewa kwa mtu binafsi. Leseni ikishatolewa miliki (mineral right) inahamia kwa - See more at: Zitto Kabwe : Nani anamiliki rasilimali za nchi - AJIRAZETU BLOG