Zitto Kabwe na ACT Wazalendo, viongozi wa halmashauri iliyopata hati chafu

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
ZITTO KABWE NA ACT, VIONGOZI WA HALMASHAURI ILIYOPATA HATI CHAFU.
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Niliwahi kusema kuwa wengi wa wakosoaji wa serikali ni wapiga kelele. Kuna tofauti kati ya mkosoaji na mpiga kelele.

Mkosoaji hukosoa tu hata kama jambo linahusu upande wake na watu wake. Katu, jambo hili hafanyi mpiga kelele.

Mpiga kelele kazi yake kubwa ni kuvizia wengine wamefanya nini, na atafute changamoto katika hilo lililofanyika, na aitangaze hiyo changamoto kwa nguvu zote kuwa hiki ndicho kilichofanyika, huku akiacha kabisa kuzungumzia faida/mazuri katika kitu hichohicho. Lakini katu hafanyi hivyo kwa mambo yanayohusu upande wake/kundi lake.

Mpiga kelele ni 'snitch', na huwa ni mnafiki. Ni mnafiki kwasababu hujifanya anakosoa kwa nia ya kujenga pale ambapo jambo haliko upande wake, lakini likiwa kwake hukaa kimyaa kama hajasikia vile. Zitto Kabwe ni mfano halisi wa watu hawa.

Machi, 27 2018 CAG alikabidhi ripoti ya hesabu za serikali za mwaka 2017/2018. Halmashauri ya Kigoma Ujiji inayoongozwa na ACT ni kati ya halmashauri 3 zilizopata hati CHAFU. Kati ya halmashauri karibia 185 za Tanzania, Kigoma Ujiji ya ACT imo katika 3 zenye hati CHAFU.

Kuna hati safi, hati zenye mashaka na hati chafu. CHAFU ndio ya mwisho na mbaya zaidi.

Mpaka sasa nani amemsikia Zitto akiita press na kukemea au kukosoa kuhusu uozo huu kwenye halmashauri yake. Sitaki niwaeleze kuhusu speed ya Zitto ya kuita press na kutoa matamko haraka haraka linapotokea jambo kwasababu spidi yake wote mnaijua.

Na katika watu ambao hufuatilia sana ripoti za CAG hapa nchini miaka yote, hakuna kama Zitto. Leo Halmashauri yake ina hati CHAFU Zitto kama hayupo nchini. Kama hakuna kilichotokea vile.

Tunajifunza mengi kwa watu kama Zitto :-
KWANZA, ukosoaji wanaoufanya katika sekta nyingine wanaufanya kwasababu hawako katika nafasi hizo. Wakizipata hizo nafasi watakaa kimya kama wanavyokaa kimya leo katika zile nafasi ambazo tayari wamefanikiwa kuzipata.

PILI, huwa hawakosoi kwa nia ya kujenga kama ambavyo hujitanabaisha, bali hukosoa kuharibu/kuingilia mchakato au kukatisha tamaa(kufrastrate process na viongozi).

Mkosoaji mjenzi hukosoa na husemea kwake zaidi kuliko pengine haraka ili pawe pa mfano na hawezi kuwa kimya kama kwake pameharibika.

TATU, wanayoyasema kuhusu uwajibikaji,usimamizi wa fedha na rasilimali, uongozi bora na wa mfano, nk, wao wenyewe hawana uwezo nayo hata kidogo. Ni maneno maneno tu wala hawana uwezo na wanayosema.

Hawa ni wapiga kelele na hii ndio tofauti ya wapiga kelele na Wakosoaji. Na duniani kote Wapiga kelele hupigwa vita sana wakati wakosoaji hukumbatiwa.
 
Utapewa wewe ile nafasi ya wakurugenzi waliotumbuliwa ile usafishe hiyo hati!
 
Machi, 27 2018 CAG alikabidhi ripoti ya hesabu za serikali za mwaka 2017/2018. Halmashauri ya Kigoma Ujiji inayoongozwa na ACT ni kati ya halmashauri 3 zilizopata hati CHAFU. Kati ya halmashauri karibia 185 za Tanzania, Kigoma Ujiji ya ACT imo katika 3 zenye hati CHAFU. Kuna hati safi, hati zenye mashaka na hati chafu. CHAFU ndio ya mwisho na mbaya zaidi.

Mpaka sasa nani amemsikia Zitto akiita press na kukemea au kukosoa kuhusu uozo huu kwenye halmashauri yake. Sitaki niwaeleze kuhusu speed ya Zitto ya kuita press na kutoa matamko haraka haraka linapotokea jambo kwasababu spidi yake wote mnaijua.

Na katika watu ambao hufuatilia sana ripoti za CAG hapa nchini miaka yote, hakuna kama Zitto. Leo Halmashauri yake ina hati CHAFU Zitto kama hayupo nchini. Kama hakuna kilichotokea vile.

Tunajifunza mengi kwa watu kama Zitto :-

KWANZA, ukosoaji wanaoufanya katika sekta nyingine wanaufanya kwasababu hawako katika nafasi hizo. Wakizipata hizo nafasi watakaa kimya kama wanavyokaa kimya leo katika zile nafasi ambazo tayari wamefanikiwa kuzipata.

PILI, huwa hawakosoi kwa nia ya kujenga kama ambavyo hujitanabaisha, bali hukosoa kuharibu/kuingilia mchakato au kukatisha tamaa(kufrastrate process na viongozi).

Mkosoaji mjenzi hukosoa na husemea kwake zaidi kuliko pengine haraka ili pawe pa mfano na hawezi kuwa kimya kama kwake pameharibika.

TATU, wanayoyasema kuhusu uwajibikaji,usimamizi wa fedha na rasilimali, uongozi bora na wa mfano, nk, wao wenyewe hawana uwezo nayo hata kidogo. Ni maneno maneno tu wala hawana uwezo na wanayosema.

Hawa ni wapiga kelele na hii ndio tofauti ya wapiga kelele na Wakosoaji. Na duniani kote Wapiga kelele hupigwa vita sana wakati wakosoaji hukumbatiwa.
 
ZITTO KABWE NA ACT, VIONGOZI WA HALMASHAURI ILIYOPATA HATI CHAFU.
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Niliwahi kusema kuwa wengi wa wakosoaji wa serikali ni wapiga kelele. Kuna tofauti kati ya mkosoaji na mpiga kelele.

Mkosoaji hukosoa tu hata kama jambo linahusu upande wake na watu wake. Katu, jambo hili hafanyi mpiga kelele.

Mpiga kelele kazi yake kubwa ni kuvizia wengine wamefanya nini, na atafute changamoto katika hilo lililofanyika, na aitangaze hiyo changamoto kwa nguvu zote kuwa hiki ndicho kilichofanyika, huku akiacha kabisa kuzungumzia faida/mazuri katika kitu hichohicho. Lakini katu hafanyi hivyo kwa mambo yanayohusu upande wake/kundi lake.

Mpiga kelele ni 'snitch', na huwa ni mnafiki. Ni mnafiki kwasababu hujifanya anakosoa kwa nia ya kujenga pale ambapo jambo haliko upande wake, lakini likiwa kwake hukaa kimyaa kama hajasikia vile. Zitto Kabwe ni mfano halisi wa watu hawa.

Machi, 27 2018 CAG alikabidhi ripoti ya hesabu za serikali za mwaka 2017/2018. Halmashauri ya Kigoma Ujiji inayoongozwa na ACT ni kati ya halmashauri 3 zilizopata hati CHAFU. Kati ya halmashauri karibia 185 za Tanzania, Kigoma Ujiji ya ACT imo katika 3 zenye hati CHAFU.

Kuna hati safi, hati zenye mashaka na hati chafu. CHAFU ndio ya mwisho na mbaya zaidi.

Mpaka sasa nani amemsikia Zitto akiita press na kukemea au kukosoa kuhusu uozo huu kwenye halmashauri yake. Sitaki niwaeleze kuhusu speed ya Zitto ya kuita press na kutoa matamko haraka haraka linapotokea jambo kwasababu spidi yake wote mnaijua.

Na katika watu ambao hufuatilia sana ripoti za CAG hapa nchini miaka yote, hakuna kama Zitto. Leo Halmashauri yake ina hati CHAFU Zitto kama hayupo nchini. Kama hakuna kilichotokea vile.

Tunajifunza mengi kwa watu kama Zitto :-
KWANZA, ukosoaji wanaoufanya katika sekta nyingine wanaufanya kwasababu hawako katika nafasi hizo. Wakizipata hizo nafasi watakaa kimya kama wanavyokaa kimya leo katika zile nafasi ambazo tayari wamefanikiwa kuzipata.

PILI, huwa hawakosoi kwa nia ya kujenga kama ambavyo hujitanabaisha, bali hukosoa kuharibu/kuingilia mchakato au kukatisha tamaa(kufrastrate process na viongozi).

Mkosoaji mjenzi hukosoa na husemea kwake zaidi kuliko pengine haraka ili pawe pa mfano na hawezi kuwa kimya kama kwake pameharibika.

TATU, wanayoyasema kuhusu uwajibikaji,usimamizi wa fedha na rasilimali, uongozi bora na wa mfano, nk, wao wenyewe hawana uwezo nayo hata kidogo. Ni maneno maneno tu wala hawana uwezo na wanayosema.

Hawa ni wapiga kelele na hii ndio tofauti ya wapiga kelele na Wakosoaji. Na duniani kote Wapiga kelele hupigwa vita sana wakati wakosoaji hukumbatiwa.

Uko sahihi kabisa
 
Nafikiri utakuwa na chuki binafsi dhidi ya Zitto, kwa sababu ripoti yenyewe ndo kwanza iko kwa Rais, wabunge hawajapata nafsi bado ya kuipitia. Hivyo utataka Zitto aitishe press ya kitu ambacho hata yeye hajapitia?
 
Naomba utupatie na majina ya hizo halmashauri zingine na wabunge wake tujue ni wakina nani, na kama wameshafanya press conference.
 
Ulichoandika hapa kinatuambia kuwa hata wewe ni bure tu kama utapewa nafasi.

Mbona nawe unakosoa.

"A litle knowledge is dangerous thing"
ZITTO KABWE NA ACT, VIONGOZI WA HALMASHAURI ILIYOPATA HATI CHAFU.
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Niliwahi kusema kuwa wengi wa wakosoaji wa serikali ni wapiga kelele. Kuna tofauti kati ya mkosoaji na mpiga kelele.

Mkosoaji hukosoa tu hata kama jambo linahusu upande wake na watu wake. Katu, jambo hili hafanyi mpiga kelele.

Mpiga kelele kazi yake kubwa ni kuvizia wengine wamefanya nini, na atafute changamoto katika hilo lililofanyika, na aitangaze hiyo changamoto kwa nguvu zote kuwa hiki ndicho kilichofanyika, huku akiacha kabisa kuzungumzia faida/mazuri katika kitu hichohicho. Lakini katu hafanyi hivyo kwa mambo yanayohusu upande wake/kundi lake.

Mpiga kelele ni 'snitch', na huwa ni mnafiki. Ni mnafiki kwasababu hujifanya anakosoa kwa nia ya kujenga pale ambapo jambo haliko upande wake, lakini likiwa kwake hukaa kimyaa kama hajasikia vile. Zitto Kabwe ni mfano halisi wa watu hawa.

Machi, 27 2018 CAG alikabidhi ripoti ya hesabu za serikali za mwaka 2017/2018. Halmashauri ya Kigoma Ujiji inayoongozwa na ACT ni kati ya halmashauri 3 zilizopata hati CHAFU. Kati ya halmashauri karibia 185 za Tanzania, Kigoma Ujiji ya ACT imo katika 3 zenye hati CHAFU.

Kuna hati safi, hati zenye mashaka na hati chafu. CHAFU ndio ya mwisho na mbaya zaidi.

Mpaka sasa nani amemsikia Zitto akiita press na kukemea au kukosoa kuhusu uozo huu kwenye halmashauri yake. Sitaki niwaeleze kuhusu speed ya Zitto ya kuita press na kutoa matamko haraka haraka linapotokea jambo kwasababu spidi yake wote mnaijua.

Na katika watu ambao hufuatilia sana ripoti za CAG hapa nchini miaka yote, hakuna kama Zitto. Leo Halmashauri yake ina hati CHAFU Zitto kama hayupo nchini. Kama hakuna kilichotokea vile.

Tunajifunza mengi kwa watu kama Zitto :-
KWANZA, ukosoaji wanaoufanya katika sekta nyingine wanaufanya kwasababu hawako katika nafasi hizo. Wakizipata hizo nafasi watakaa kimya kama wanavyokaa kimya leo katika zile nafasi ambazo tayari wamefanikiwa kuzipata.

PILI, huwa hawakosoi kwa nia ya kujenga kama ambavyo hujitanabaisha, bali hukosoa kuharibu/kuingilia mchakato au kukatisha tamaa(kufrastrate process na viongozi).

Mkosoaji mjenzi hukosoa na husemea kwake zaidi kuliko pengine haraka ili pawe pa mfano na hawezi kuwa kimya kama kwake pameharibika.

TATU, wanayoyasema kuhusu uwajibikaji,usimamizi wa fedha na rasilimali, uongozi bora na wa mfano, nk, wao wenyewe hawana uwezo nayo hata kidogo. Ni maneno maneno tu wala hawana uwezo na wanayosema.

Hawa ni wapiga kelele na hii ndio tofauti ya wapiga kelele na Wakosoaji. Na duniani kote Wapiga kelele hupigwa vita sana wakati wakosoaji hukumbatiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom