TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,743
Ilikuwa ni kulewa tu sifa ya Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na akaona anatosha kuwa Mwenyekiti wa Chama.
Ilikuwa ni kulewa tu sifa ya kuwa Mwenyekiti wa PAC wakati wa ESROW. Hoja haikuwa yake bali ya David Kafulila.
Ilikuwa ni kutaka sifa tu kubaki Bungeni wakati Rais Magufuli alipolihutubia kwa mara ya kwanza. Wapinzani wenzake walitoka nje.
Ilikuwa ni kutaka tu sifa KUITISHA MKUTANO kwa kile alichokiita ni Operesheni Okoa Demokrasia. Hoja ilikuwa ni ya Juma Nkamia na baadaye Joshua Nassari. Hoja haikuwa ya Zitto.
Ilikuwa ni kutafuta tu sifa KUITISHA KONGAMANO LA KUJADILI BAJETI Millenium Tower. Bajeti inajadiliwa Bungeni. Kwani alifukuzwa pekee Bungeni?
Ilikuwa ni kutaka tu sifa, eti KAPOTEA na CHAMA hakijui aliko. Mbona leo ana mkutano na Wanahabari, ameokotwa wapi? Mbona Chama hakikutoa taarifa ya kupatikana kama ilivyofanya kwa kile walichokiita kupotea?
Tumeshuhudia Freeman Mbowe, Ibrahim Lipumba , James Mbatia kama Wenyeviti wa vyama vyao wakiongoza harakati za kisiasa katika vyama vyao. Nini nafasi ya Mama ANNA MUNGWILLA kama Mwenyekiti wa ACT-WAZALENDO?
ZItto kuitwa KIONGOZI MKUU WA CHAMA imekuwa tabu kama ilivyokuwa tabu alipopewa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA. Akishaonjeshwa tu madaraka analewa na kutaka sifa kutokana na matukio ambayo hata jasho hakuyatolea.
ZITTO NI SHIIIDA.