GE2025 Zitto Kabwe: Miezi mitatu ijayo itabadili Siasa za Tanzania

GE2025 Zitto Kabwe: Miezi mitatu ijayo itabadili Siasa za Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mwenyekiti wa zamani wa ACT Wazalendo akiwa kwenye mkutano maalum wa kumteua mgombea urais leo Agosti 6,2025 amesema ,“Wanazuoni, watafiti, kuanzia leo waanze kushika kalamu zao, miezi mitatu inayokuja inakwenda kubadili siasa za Tanzania moja kwa moja.” – Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo.
 
Back
Top Bottom