Zitto Kabwe kuunguruma tena jijini Mwanza

Ni jumamosi wiki hii kwenye kufunga kampeni za udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.

Naombea kwa mizimu yote kuwa atazungumzia kushinda Kirumba na haja ya kuikataa CCM katika sehemu zote zinazopiga kura Jumapili. Hatozungumzia mambo ya Urais hapo tayari ameshajibu swali lililokuwa hewani kwa muda mrefu sasa mambo ni kushinda uchaguzi. I really really hope so.
 
Wafungaji wazuri wa magori kwenye mpira wa miguu ni watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi ni wakati gani wa kupiga mpira na kupata gori, au kutoa pasi kwa mwingine au kurudisha nyuma kuanza mashambulizi upya au kutoa nje/kona kuepusha hatari gorini kwako na hata mara nyingine kujeza rafu pia kuepusha hatari
 
Anaimarisha CV tu, baada ya muda atakua CCM au hata mwalimu ngazi za juu.Siasa inaanza kuexpire kwake.Political depresion is acceptable in all democratic processes.Its hs tm now
 
Nimetokea tu kumchukia ghafla huyu jamaa kutokana na kujikweza kwake
 
kwa hamu tunakusubiria future president

Unapenda kuudhi watu kweli kweli ! wewe nawe.......!

...mambo mengine yote yakae kando,kata ya Kirumba ni muhimu sana kurudisha mikononi mwetu Chadema...karibu Mwanza Zitto...

CCM wataipata fresh......! Nipo Mwanza inabidi tuwapange vyema vijana.CCM wanapanga njama kutumia green guard kuziba ombwe lililojitokeza la hoja majukwaani.wanataka kutumia vitisho.Watakoma kuweka mgombea udiwani safari hii

Nimetokea tu kumchukia ghafla huyu jamaa kutokana na kujikweza kwake

Chuki hazisaidii.......Toa elimu ya uraia popote ulipo.Tafuta muongozo wa kiroho kutoka kwa viongozi wako wa kiroho,fuata ushauri wa wataalamu wa saikolojia ikiwezekana.Chuki zina athari sana kwa afya ya mwanadamu

Freeland,Just be free,be good.Truth will set you Free(the essence and legacy of your name)
 
itakuwa uwanja gani wakuu.tunahamu ya kumsikiliza kamanda wa ukweli.keshasema hoja ya uraisi ni ndoto yake.kama ambavyo mtu yeyote ana ndoto ya kuwa mtu fulani ndani ya jamii.mm nina ndoto ya kuwa governor wa bot, ww sijui una ndoto gan? so kwa mtazamo huu tumuachen na tumtakie kila heri
 
dunia hii bana.....hakuna demokrasia ya kweli kabisa, huru na safi kama emotion! watu wako tayari kupigana vikumbo mwanza kumuona 'future presdent'..wengine wako tayari kuumia ili wasalimiane naye tu!

whoever says politics is not a game was wrong!! it is a game...
 
Unapenda kuudhi watu kweli kweli ! wewe nawe.......!

CCM wataipata fresh......! Nipo Mwanza inabidi tuwapange vyema vijana.CCM wanapanga njama kutumia green guard kuziba ombwe lililojitokeza la hoja majukwaani.wanataka kutumia vitisho.Watakoma kuweka mgombea udiwani safari hii

Chuki hazisaidii.......Toa elimu ya uraia popote ulipo.Tafuta muongozo wa kiroho kutoka kwa viongozi wako wa kiroho,fuata ushauri wa wataalamu wa saikolojia ikiwezekana.Chuki zina athari sana kwa afya ya mwanadamu

Freeland,Just be free,be good.Truth will set you Free(the essence and legacy of your name)

Mkuu wangu Mimi mjadala wa Zitto nilishaachana nao hauna tija kwangu wala kwa Taifa.....but/lakini think loud hivi Zitto humu kwenye mitandao kushabikiwa na Pro CCM huoni kwamba ni jambo linalombomowa kuliko kumjenga? hivi kuna mwana CCM kweli anayempenda mtu yeyote wa Opposition? hizi ni changamoto ambazo Zitto anapaswa kushughulika nazo.

Waangalie kwa makini Members wote humu wanaoiponda Chadema likifika swala la Urais wanamshabikia Zitto, hapa kwa maoni yangu anayebomolewa ni Zitto kuonekana he is not threat kwa CCM, bali CCM wanamuogopa kupita kiasi Dr Slaa kiasi kwamba ni faraja kwao kusikia mtu mwingine akitangaza nia. sijaibuwa mjadala kuleta malumbano bali hii ni Alert kwamba msicheke na kuintatain maadui.
 
Matola taja pro-ccm watatu tu humu wanaomshabikia Zito yatosha!!
 
itakuwa uwanja gani wakuu.tunahamu ya kumsikiliza kamanda wa ukweli.keshasema hoja ya uraisi ni ndoto yake.kama ambavyo mtu yeyote ana ndoto ya kuwa mtu fulani ndani ya jamii.mm nina ndoto ya kuwa governor wa bot, ww sijui una ndoto gan? so kwa mtazamo huu tumuachen na tumtakie kila heri

Mkuu wewe ulimwelewa Zitto, sio watu wengine humu walimnukuu vibaya ZK
 
dunia hii bana.....hakuna demokrasia ya kweli kabisa, huru na safi kama emotion! watu wako tayari kupigana vikumbo mwanza kumuona 'future presdent'..wengine wako tayari kuumia ili wasalimiane naye tu!

whoever says politics is not a game was wrong!! it is a game...
Kaka kama ungebahatika kuwaona JOTI na Masanja Mkandamizaji wanavyopokewa huko mwanza basi si jambo la kushangaza kwa Mwanasiasa Maarufu kama Zitto kuvuta watu wa kumlaki, hili ni jambo la kawaida sana kwa kila mtu maarufu kwenye sekta yake.
Ngoja nikutafutie video ya Mr Nice uone alivyopokewa Kigari utadhani ni Rais wa nchi fulani ameingia, au Kakobe ndani ya Lusaka na Lubumbashi.
 
Matola taja pro-ccm watatu tu humu wanaomshabikia Zito yatosha!!
1. Jackon Michael
2. Rejao
3. Ribosone (FF)
4. Ritz
5. Thatha

user-online.png
JacksonMichael

Today 13:47
#4
Senior Member Array

Join Date : 22nd March 2012
Posts : 105
Rep Power : 322
Likes Received22Likes Given2

icon1.png
HALI TETE ARUMERU: wafuasi wa CDM wafanya fujo mikutano ya CCM, Polisi yawashughulikia!

Haya hapa chini ni maneno ya Jackson Michael shabiki wa Zitto ambaye anaichukia CHADEMA hivi!!
Kamanda wa ukweli wa FFU (USO MBUZI) akitazama mfuasi wa CDM Kalisti Lazaro akiingia kwenye gari la polisi baada ya kuvamia mkutano wa CCM eneo la Ngaresero."

Ndio maana hapa chini nimesema hivi:
kabla ya kunipinga au kukubaliana na hoja zangu pitia kwanza mabandiko yao Agaist Chadema, halafu angalia wanavyogeuka vinyonga linapokuja swala la Zitto Kabwe.
Nayaongea haya kwa nia njema kabisa maana sijaumbwa na unafki na nitasimamia kweli na kile ninachokiamini siku zote.
 
Back
Top Bottom