1. Jackon Michael
2. Rejao
3. Ribosone (FF)
4. Ritz
5. Thatha
JacksonMichael
Today 13:47
#4
Senior Member Array
Join Date : 22nd March 2012
Posts : 105
Rep Power : 322
Likes Received22Likes Given2
HALI TETE ARUMERU: wafuasi wa CDM wafanya fujo mikutano ya CCM, Polisi yawashughulikia!
Haya hapa chini ni maneno ya Jackson Michael shabiki wa Zitto ambaye anaichukia CHADEMA hivi!!
Kamanda wa ukweli wa FFU (
USO MBUZI) akitazama mfuasi wa CDM Kalisti Lazaro akiingia kwenye gari la polisi baada ya kuvamia mkutano wa CCM eneo la Ngaresero."
Ndio maana hapa chini nimesema hivi:
kabla ya kunipinga au kukubaliana na hoja zangu pitia kwanza mabandiko yao Agaist Chadema, halafu angalia wanavyogeuka vinyonga linapokuja swala la Zitto Kabwe.
Nayaongea haya kwa nia njema kabisa maana sijaumbwa na unafki na nitasimamia kweli na kile ninachokiamini siku zote.