GE2025 Zitto Kabwe: Kususia Uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini

GE2025 Zitto Kabwe: Kususia Uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe katika andiko lake katika mtandao wa X siku ya Jumapili, Julai 6, 2025.

"Watanzania wameichoka CCM. Watanzania wanataka mabadiliko. Kususia uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini. Kuiacha CCM peke yake kulidhibiti Bunge ni kulikosea Taifa. Tunaweza kurejesha thamani ya kura zetu. Oktoba LindaKura"

Screenshot 2025-07-06 110527.png
 
Chadema wana internal problems za kudhuluniana hela wanasingizia no reform no election.
 
Anapasha misuli kwaajili ya phase ya maridhiano. Hajapiga picha akiwasilisha maelezo kwa Balozi Kapya na Razia mtengeti
 
Back
Top Bottom