Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

Ni wakati wa watanzania kumuunga mkono zitto na wapinzani wote kumg'oa huyu dikteta uchwara madarakani
Naunga mkono kwa asilimia 100%
Zitto hili likifanikiwa utabarikiwa sana na mungu haya,mateso tunayopata watanzania yataisha
Mungu awatangulie ni wakati wa kusimama pamoja
Siku mnapeleka hoja hiyo Magufuli anaweza kulivunja bunge na makrudi majimboni kujitafakari upya....
 
Uchaguzi Wa Mwaka 2015 Tu Umwemwacha Zitto Na Madeni Karibia 300M Mpaka Sasa Hajalipa, Sasa Bunge Likivunjwa Atapata Wapi Pesa Za Kurudia Uchaguzi ?

- Kwasasa Wabunge Wananuka Madeni, Ya Uchaguzi + Binafsi Kwenye Mabenki, Magufuli Akivunja Bunge Vitakuwa Vilio Na Kusaga Maji Na Hata Humwitto Hatarudi Bungeni.

- Hiyo Hoja Hata Kama Zitto Atajitutumua Kuipeleka, Itapelekwa Ila Haitajadiliwa ( Ref Kutokuwa Na Imani Na Naibu Spika ). Na Ikitokea Ikajadiliwa, Magufuli Atavunja Bunge Then Wabunge Wataozea Jela Kwa Madeni.
 
Sizani kama wabunge wote wa upinzani watakubaliana na hoja hii, maana wengne ni kenge tu kwny kundi la mamba
 
Kwa mara nyingine tena nakuunga mkono sana tu ZZK.........nakuaminia sana sana ila mimi na wewe bado tatizo letu ni moja tuuu.......ukibadilika nitakuunga mkono sana sana.......(ule unafiki wa kutumiwa na ccm kuua upinzani pale tuu naishiwa nguvu na wewe)......
 
Ivi raisi aliefuta ufisadi mchini na kuleta usawa bado watanzania mnampinga???
Mnataka ufisadi urudi au???

Tatizo watanzania wengi wamejaliwa na sifa binafsi na si kuliweka taifa mbele
Kafuta Ufisadi Kwa Kuiba 2.7 Billions na Kuwahonga wabunge wa CCM milion 10 Kila Mmoja kuna Ufisadi zaidi ya huo.
1) Kuiba 2.7 Billion Ufisadi Mkubwa
2) Kuhonga wabunge millioni 10 Impeachable crime!
Amejifanya kumwondoa Kitwanga ili Kashfa ya Lugumi ipotezewe huo sio Ufisadi?
Kuchukua Pesa za Rambi rambi na misaada ya Wahanga at Least 6 Billion Kubebea Msalaba wa Serikali sio Upuuzi na Ufisadi?
Kutumia Mabilioni Kujenga Uwanja wa Ndege Pasipo na Abiria ati ili awaonyeshe wanakijiji chake Ndege sio Ukumbafu na Ufisadi kwa Mujibu wa Nyerere? Hivi Kuna Uwanja Mkubwa Kiasi gani Butiama kwa Nyerere au Unguja Kwa Mwinyi au Chalinze kwa Kikwete au Lushoto kwa Mkapa? Who he think he is?
Magufuli hana Jipya Ni Mfujaji Mkubwa na Mwizi (2.7 bn) na Mtoa Rushwa! Kwa Mzee wa Upako, Kwa Mahakama, Kwa Vongozi wa Dini wabunge etc it is well documented. Kafuta Ufisadi upi? Hata alisema atahamia Dodoma na Kisha Kuuza Majengo yote ya Wizara Dar! I say It will Never happen, hamia Dodoma Lakini Thubutu Kujiuzieni Majengo ya Wizara kama Ulivyouza Nyumba za Serikali za Makazi Dar. Ndio utaona Kilichompata Chiluba! Dont Dare!
 
Back
Top Bottom