Zitto Kabwe kumponza Dr Kitila Mkumbo?

Bestito hujaona jukwaa la kuwakilisha hii hoja / mada yako mpaka huku chitchat hujui ni sehemu ambayo unatua stress za siasani hebu Mwanyasi, Bujibuji na Asprin msaidieni huyu bestito wetu naona amekwama mahali, au wameshamchizisha akawa hivi :A S-confused1::A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanaona mbali aisee.
Kumbe haya mambo yalishatabiriwa ati?
 
binafsi nampenda zitto kama mtendaji zaidi kuliko zitto mwanasiasa,ila siwezi unga mkono kila hoja ya kumkosoa.kwasasa issue ni mafuta,ufisadi n.k na sio kuibua upuuzi.kitila ni mtu mwenye nidhamu na maadili ya utawala kijana.

Kitila elimu na chuo alichosoma ndicho kimemzuia kuwa critical thinker......sasa usichokipenda ktk siasa ndicho kinachomuhukumu hapa.
 
atakayeamini upuuzi huu ni mtu aliyechizika

Kwenye waraka wa siri ambapo Dkt Kitila amekiri ameandaa yeye alikuwa amshauri ZZK agombee uwenyekiti je sasa now umeamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…