Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,165
Hata Mimi najiuliza, yuko wapi, huyu mwanasiasa Kijana machchari Zitto Kabwe, mbona siku hizi hasikiki kabisa??Yule mchumi wa maigizo anayejiita Zitto Kabwe kapotelea wapi siku hizi?....
Kazimika kama moto. Kimyaaaa!!!Hata Mimi nakuuliza, yuko wapi, huyu mwanasiasa Kijana machchari Zitto Kabwe, mbona siku hizi hasikiki kabisa??
Busy na serikali ya Kitaifa zanzibar!Yule mchumi wa maigizo anayejiita Zitto Kabwe kapotelea wapi siku hizi?....
Kumbe!Busy na serikali ya Kitaifa zanzibar!
Asali.Anakula neema za mama. Zile kelele zote kipindi kile ni sababu alikuwa hajapewa mnofu na yeye.
Si yumo kwenye kile kikosi kazi cha Prof. Mukandala sijui wanakusanya maoni gani juu ya katiba mpya
why working class mnapenda sana kupiganiwa?,why usijipiganie mwenyewe?,why Mr.Zito he must fight your battles?
Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba vyaoWakati wa Magufuli, Bwana Zitto alikuwa na mstari wa mbele kumkosoa magu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amelewa asali kenge yule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kawekewa lijikombe la asali mdomoni anakunywa zake huko Zanzibar
Hivi, ukomo wa kuitwa KIJANA ni miaka mingapi?Hata Mimi najiuliza, yuko wapi, huyu mwanasiasa Kijana machchari Zitto Kabwe, mbona siku hizi hasikiki kabisa??