Zitto Kabwe: Chickens coming home to roost

Somo zuri ila kuna wanasiasa hawajifunzi bado. Nasubiria Lissu turn.

nakumbuka. kipindi kile cha lissu zitto alijitokeza na kudai lissu ni kifaranga tu anamtaka mama mwenyewe wa vifaranga
 

Naiona mbegu ya chuki za udini ukijaribu kuipenyeza hapa. Itaangukia kwenye miba itaota itasongwa na miba itakufa
 
Zitto anatumia muda mwingi fb kuwaponda ukawa badala awanadi wagombea wa ACT, nilipita mahali jana kulikuwa na mkutano wa mgombea wa ACT kwa kweli ni aibu huku Zitto akishinda fb na twiter kutafuta umarufu,

Zitto kwa ni ni usiwanandi wagombea ubunge na Uraisi? yule mama tangu azindue kampeni hajaonekana tena, achana na UKAWA wanadi wagombea wako
 
naye yupo kwenye payroll mbona? Unashangaa ACT wanshambulia ukawa kama kwamba ndio wapo serikalini. Ila chama tawala wala hawakisemi. maajbau ya karne!
 
naye yupo kwenye payroll mbona? Unashangaa ACT wanshambulia ukawa kama kwamba ndio wapo serikalini. Ila chama tawala wala hawakisemi. maajbau ya karne!

uchafu wa ccm umehamia ukawa
 
Waombea wa ACT ni majanga jamaa sijaona mikakati ya kuwanadi zaidi ya kushinda kupnda Lowasa na UKAWA,
 
Umekomaje?! Makamanda hawacheki na Kima; ukileta za kuleta unapewa tena bila huruma!


"PROPAGANDA MACHINERY YA CHADEMA NI SHEEDAH", hawana staha, ni watu frustrated, na upeo mdogo sana wa mambo
 
Zitto naona kawaigiza mkenye wagombea wa ACT wanakufa na tai shingoni
 
Eee Mungu wa Mbinguni TUNAKUOMBA utuepushe na haya yanayotokea sasa....
Eee mungu kweli hawa watu walikuwa na nia njema nasi kweli?????????????
Ni kwanini ee baba walituthibitishia kuwa wanatujali lakini sasa wameonjeshwa utamu wa ngano kidogo sasa wanataka pipa lote.
Ni kweli baba tunajua hela ilimuuza yesu lakini baba si ni yuda alijuta sana baada ya usaliti????????????????
Tunakuomba uwapige upofu woote wanaopinga mabadiliko na wooote wanaoyapuuza...........
Kwani BABA sisi tumekukosea nini sisi wanao hadi TUISHI NAMNA HII????????
1. GESI NI BEI JUU NCHINI
2. ADA SHULENI HAZIFAI HATA KWENYE PUBLIC SCHOOL TU KUNA WASIOWEZA KULIPA.
3. MAFUTA YOOOOOTE BABA... YA TAA, YA PETROLI, YA KULA N.K BEI NI JUU
4. KODI BABA TUNALIPA KWA KILA BIDHAA.... Yaani mfano baba yetu.. KAMA UNAKUNYWA MAJI ASUBUHI LT 1 UTAILIPIA NA KODI, UKINYWA JIONI BABA KODI NI ILEILE.
5. BABA HAPA NCHINI HATA ULIMEJE SOKO HALIPO NA KAMA LIPO BEI NI YA MKULIMA KUSHIKIWA CHINI NA KUNA WAKATI BABA WANAKOPWA NA HAWALIPWI KWA WAKATI NA WANAPOLIPWA WANALIPWA KIDOGO KIDOGO MPAKA HAWAONI FAIDA YA MAZAO YAO BABA.
6. BABA VIWANDA VYOTE VIMEKUFA BABA, MKOLONI ALIACHA VIWANDA KIBAO NA VINGINE VILIJENGWA NA JK WA KWANZA BABA ILA SASA HAVIPO. KAMA SIO BODABODA HIZI BABA BASI AJIRA KUU INGEKUWA WIZI NA UKABAJI. ILA TUNAMSHUKURU MTUMISHI WAKO MCHINA BABA.... AMETULETEA BODABODA AMBAZO HATA GRADUATE SAS ZIMEWAKOMBOA.
7. BABA MAHOSPITALINI SIKU HIZI UNAPIMWA TU, DAWA UTAJUA MWENYEWE????? NATAKA KULIA NIKIFIKA HAPA BABA ILA KUNA AMBAO WAKIUGUA TU BABA WANAPANDA MAPIPA YANAYOPAA YA MZUNGU, WANAENDA ZAO NJE KUTIBIWA.
8. HIVI BABA ULIKOSEA ULIPOWEKA MADINI AINA ZOTE TANZANIA??? TENA MENGINE YANAPATIKANA HAPA KWETU TU BABA. LAKINI HAKUNA HATA KIWANDA KIMOJA CHA KWETU KINACHOUZA BIDHAA ZILIZOKAMILIKA ZA MADINI YETU DUNIANI....
9. BABA NAONA AIBU KUSEMA KUWA TUNA TEMBO NA VIFARU TANZANIA. TUONEE HURUMA KWASABABU TUMEWAMALIZA WOTE WOTE WOTE. NA WENGINE WANAKWEA HAYO MAPIPA YANAYOPAA KABISA KWENDA NJE.
10. BABA, MTU WA CHINI YAANI TUNAOITWA WA KAWAIDA NCHI HII HATUNA LETU... SUKARI BABA, MIWA IPO TPC KIBAO, KILOMBERO NA KAGERA LAKINI KG YA SUKARI HAAAAAAAA.....
KWAHIYO TUNAKUOMBA UFUNGUE MIOYO NA MACHO YA WAPENDA MAENDELEO NA UFUNGE YA WASIOTAKA ILI IKIFIKA SIKU BASI MZEE WETU EDWARD LOWASSA APITE BABA.
SI NI SAULI ALIUWA SANA WATUMISHI WAKO NA UKAMUONGOA AKAITWA PAULO NA NDIYE MTUME ALIYEFANYA KAZI KUBWA SANA KUKUTANGAZA. SASA KAMA KUNA DHAMBI YEYOTE IMEFANYWA NA MKOMBOZI WETU HUYU WA KIZAZI KIPYA BASI TWAKUOMBA UISAFISHE NA UKAMUWEKE JUU NA WABAYA WAKE WOOOOTE WASHUSHE KAMA ULIVYOWAPANDISHA.
NA WOTE NAOMBA TUSEME AMEEEEN.
 


Hicho kinachomkuta ni matokeo ya kukiuka misingi ya mabadiliko, na kwa taarifa yako ukigeuka misingi au kwenda tofauti na misingi hiyo hutaachwa. Iwe Zitto, Slaa, Mbowe nk. Nadhani katika walio baki kwenye nafasi ya juu ambao hawajatoka kwenye misingi ya kutaka mabadiliko ni Mbowe tu huko cdm, na kama huamini hebu Mbowe alete hizo za Slaa juzi uone kama watu watamfagilia, atapewa zake mpaka achanganyikiwe.
 
Kuna jambo moja ambalo ni rahisi lakini naona kama watu wengi hawalielewi.......

Polepole ni mmojawapo....na yeye anasema, siku za nyuma wanachama wa CHADEMA na UKAWA walikuwa wanashabikia na kukubali hoja zake lakini sasa wamemgeuka. Kwa namna moja au nyingine hoja yako inamgusa Slaa kwa namna inayofanana na hii ya Polepole.....na hata Zitto pia....

Jibu ni rahisi sana....Sisi tuna permanent interest, tuna malengo na malengo yetu ni kuiondoa CCM madarakani na kwa muda mrefu CHADEMA ndio wamekuwa hope yetu kutimiza hili lengo letu na sasa hivi UKAWA umeongeza tumaini letu hilo zaidi....

Sasa, kwa mtu yeyote atakayejaribu kuwa against haya malengo au kujaribu kuhujumu means za kufikia malengo haya LAZIMA tumgeuke tena kwa nyuzi 180......It is that simple. In the same way yeyote anayeleta mchango kufanikisha lengo hili ni rahisi sana kwetu kumkubali kwa sababu kwetu sisi lengo hili ndio la muhimu kabla ya mambo mengine.....na hii ndio sababu imekuwa rahisi kwetu ku-adjust (haikutokea ghafla lakini haikuwa ngumu sana) kumkubali Lowassa na wengine.....
 
vijana wameamua kushabikia siasa kama mpira kazi wanayo

 
Sawa ZITTO alikuwa bora kuliko Slaa ila wote mliishia mikononi mwa CCM na hatimaye kuharibu future yenu kwa taifa letu.

Wote walikuwa wapenda madaraka kwa gharama yo yote. Iliposhindikana mmoja kaamua kufanya usaliti kwa kuanzisha chama akiwa ndani ya chama. Mwingine alipokosa fursa ya kugombea urais anadai kujiuzulu siasa lakini kwa wakati uo huo akifanya gutter politics ili Ukawa ishindwe. Birds of same feathers flock together.
 
Nafurahi sana ninapoona kwamba magamba mnakiri kwamba sisi tunamshambuliwa Slaa.....kinachonifurahisha ni kwamba kwa kufanya hivi mnakiri kwamba mlichokitaka (negative impact kwa CDM) hakijatimia........

Tulimheshimu sana Slaa lakini sasa hivi tunamdharau sana na tumempuuza......

Lissu achunge sana nayeye, anahisi ana nafasi kubwa sana chadema, eti naye ni part ya chadema, anajidanganya sana hadi anatia huruma! kila mwosha naye huoshwa,
 
Kwa kuwa wote ni wanafiki na wapinga mabadiliko, mnastahili malipo ya ukuwadi mnaoufanya. Tafuta video ya namna alivyokuwa anaingia Serena Hotel kama mwizi, eti Padri. Adui yeyote wa mabadiliko hana hadhi ya kuendelea kutukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…