Zitto Kabwe aula Simba SC!

hajaula, bali kaongezewa majuku ambayo yatakuwa mazito. kazi ya jimbo, chama, kamati ya mashirika ya umma vinamtosha na tayari vimekuwa vingi. tunahitaji viongozi wawajibikaji, ukiwa na majuku mengi, kutatokea conflict of interest. Namshauri Zitto, aachie ngazi hiyo, abaki kuwa mwanasiasa

Ukitaka kazi yako ifanyike mpe mtu aliye bize ("busy") na ukitaka kazi yako isifanyike mpe mtu aliye "idle".
 
Sasa ile dhana ya CDM ni Simba na CCM ni Yanga inazidi kukua
Yaani nyie kila Jambo mnalitazama kwa kutumia kurunzi ya Vyama..lol!
Mbona yule aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair ni shabiki mkuu wa Newcastle lakini hatujawahi kusikia mtu kusema LABOUR ni NewCastle??..
Acheni hizo bwana...
 
Tell them!
 
Back
Top Bottom