Ilikuwa ni zamu ya Tanzania!!! Hata hivyo hakukuwa na mwingine mwenye sifa stahiki, Zitto amekumbana na bahati plus ushawishi wa Wajerumani waliomuandaa kwenye mipango yao hapa Africa... I wish angekuwa na chembe ya uzalendo maana jamaa anakipaji lakini tatizo lake kubwa kama ilivyo kwa wasomi wengi wa Kiafrica ni tama ya madaraka na mapande ya fedha zilizowajaa... Chenge, Rostam, Prof Muhongo et al wanaonekana wa hivyo kutokana na kutumiwa na mataifa ya ulaya kutafuna nchi yetu ... "UZALENDO" Unakosekana kwa ZITO et al..