Tukishavuka mipaka tunakua kitu kimoja lakin watoto wa Vyama pinzani ikiwamo chadema mna matatizo sana na hapa inaonekana namna gani mna chuki na zitto ilihali hamuwezi kumfikia kwa lolote si uchumi, elimu wala exposure, wengi masikin bado mnasoma videgree na mmepanga tuvyumba uswahilin, wengine hata uhakika wa kula hamna , wengine hamna mbele wala nyuma mnaishi kwenu masikni ya mungu awahurumie mjitambue