Muda mfupi uliopita Mbunge kutoka Chadema Zitto Zuberi Kabwe emetoa taarifa ya kupata nafasi ya kuwa katibu mkuu kamati za mahesabu ya serikali kwa nchi kusini mwa Africa.
Ni jambo zuri na sifa kwa nchi yetu na chama chake cha Chadema.
hongera chadema kwa mbunge wenu wa Kigoma Kaskazini kungara kimataifa,
acheni malumbano yasiyokuwa na msingi na kujaza server kuendelea kumlinganisha zzk na lema/mbowe/slaa maana kamwe hawataweza lingana kama huamini look at your fingers..... hongera sana zito
Mh. mbunge wa kigoma kaskazini ni msaliti; ubunge wake umeshikiliwa na mahakama na si chadema. Ni mwenyekiti wa ACT hilo unalijua simamia imani yako.
Awe wa dunia.....anatafuta pa kujishika, CCM walipeleka jina lake
GODBLESS Lema amechaguliwa wapi?
ZZK ni kichwa huwezi linganisha na Zero brain wengine too local