Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,673
- 6,752
naunga mkono hoja. nikikumbuka yaliyomtokea LISSU dodoma sina imani kabisa na usalama wa zitto. tunaomba waliokaribu na zitto wamwambie awe makini sana kipindi hiki.
Hata Zitto ni sehemu ya watu wanafki tu ingawa kwa hili la kuichambuwa CAG report amefanyakazi nzuri.WaTz wangelikuwa wazalendo Zitto angelilindwa. Lakini waTz ni wanafki, hivo ajihadhari
Mwangalie vizuri Profesa Assad ana sigida kubwa kwenye paji la uso, hii ni moja ya ishara kwamba huyu mtu ni swala tano.Siyo Zitto tu Mkuu hata CAG ajilinde sana. Tayari kuna chuki ya kutisha dhidi yake ndani ya Serikali mpaka Bungeni wakati hana hatia yoyote ile zaidi ya kufanya kazi yake ambayo ni kwa mujibu wa nafasi yake ambayo aliteuliwa na Kikwete. Tangu jiwe liingie madarakani kumekuwepo na msukumo mkubwa kukwamisha kazi ya CAG na hata kumuondoa pia ili kiwekwe kikaragosi cha jiwe.
Taifa linayumba sana na linapitia kipindi kigumu mno tangu tupate uhuru.
ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto
2nd paragraph, you have nailed it!Hata Zitto ni sehemu ya watu wanafki tu ingawa kwa hili la kuichambuwa CAG report amefanyakazi nzuri.
Labda tu kama humjui Zitto ni kwamba yeye ni muislamu, ametoka Kigoma na ameaga kwao, yeyote atakayejaribu kumdhuru basi kwenye ukoo wao hata panya hatosalia.
Kwahiyo nikutowe hofu kuhusu Zitto huyu ana ulinzi wa kisayansi za chini ya bahari.
Tunaswali nae pale NGAZIJA, hana tabu na mtu!Mwangalie vizuri Profesa Assad ana sigida kubwa kwenye paji la uso, hii ni moja ya ishara kwamba huyu mtu ni swala tano.
Kwa jinsi ninavyowafahamu mimi watu wenye hamu na nia ya kuiona firdaus hata umtishe vipi huyu hawezi kupindisha ukweli, ccm wajifunze katika hili wakitaka kuendelea na wizi wao hivi vyeo wawe wanawapa makafir wala kitimoto na wanywa pombe waliojaa urafi roho mbaya na hawana khofu na Mungu.
Mimi ni Mkristo ila nawajuwa vizuri waislamu wa kweli wengi kwenye hizi nafasi wana roho za kibinadamu.
uzuri wa waislam wakiikamata imani wanaikamata kweli,unaweza hata ukahisi ni vichaa wanavyoikamata dini.ndio maana amemuumbua malaika.Mwangalie vizuri Profesa Assad ana sigida kubwa kwenye paji la uso, hii ni moja ya ishara kwamba huyu mtu ni swala tano.