siasa haiachwi wewe! katika historia ya kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewaza kuiacha siasa!
Anabip km mtampigia na kumwomba...Ni njia ya kujipima km kuna hata kaarufu kwa umaarufu kamebaki.Halafu si unajua....mwendo wa CDM ukabila,udini na ukanda si issue tena ya kuwauzia wabongo.Hasa kipindi hiki CCM lwamechukua mkoba wao wenye haya
(ugaidi,udini,ukabila, ukanda, ufisadi).
Kijana machachri yameishia hapo Siasa imekuwa boring km Hammer na vitu vingine alivyotamani sana na alipopata havikumpa ridhiko.
Alianza vizuri siasa lakini atamaliza vibaya. He was too ambitious, kibaya zaidi sio msikivu maana yeye hujiona anajua kila kitu na pia alilewa sifa mapema
Alipomzurisa muumba wake ktk nyumba za ibada alimkuta JK,Lipumba, Ponda basaleh, na Muhamad Said(mwandishi mahiri),said mwema, kova, na wengine, akapata uchungu sana kuhusu historia ya Tanzania.Basi aliporudi ktk siasa akawa ana visions ...za namna hiyo.....baada ya bomu kumkosa mbowe tayari fujo zilianza Jinsi mwenyekiti kahandle issue, namara Zitto kasema hiki mara kile, mara angekuwa bora, mara akazimika....kiza kikamjia tena.
Hata hujui soma nyota?Angalia usisahau toa Matambiko yako utazidi fulia.Eti leo tarehe ngapi
Kumkonvinsi mwanamke hata mwenye average IQ kuzaa na wewe km anafikiri hufai kuwa baba wa watoto wake km anavyofikiri...utaishia kuambiwa mimba zimetoka, mara dia bado hatujajipanga..ila tuendelee kula maisha tuu.atafute mke badala ya kuendeleza ukapera.
Njoo Kgm mawese tele
Iviligwa,nyanya ntole,
Mashamba mengi uje ulime .
si ana mtoto tayari jamani na mwalimu wa UDSMKumkonvinsi mwanamke hata mwenye average IQ kuzaa na wewe km anafikiri hufai kuwa baba wa watoto wake km anavyofikiri...utaishia kuambiwa mimba zimetoka, mara dia bado hatujajipanga..ila tuendelee kula maisha tuu.
Jamaa anaweza kuwa na wanawake wote wanaomrusha roho mjini ili apate ridhikola roho kuwa ni mtu kubwa ila kuzalisha mmoja...mh.Wale viumbe hata wanyama wanachagua sana baba watoto wao.Labda akachukue utaalamu kwa wassira alisevu vipi.