Zitto Kabwe amzika rasmi Machali kisiasa

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,330
Reaction score
13,777
Hakika Ulaghai wa Zitto Kabwe dhidi ya Machali umemfanya kumpoteza mwenzake hakika ulaghai wa kua wabunge 50 watajiunga A.C.T na Machali akaamini matokeo yake yeye ndo kazikwa rasmi.

N.B Uwezo wa Zitto Kabwe anaweza Kugombea Sehemu yoyote Tanzania na akapata Ubunge na anapanga Kugombea Jimbo la Chalinze.
 
Acha Majungu, na wabunge wa nccr waliopigwa chini kawazika nani?
 
Zitto ni full bright politician.... Mwenyekiti Wa PAC sasa atakavyowachana wale wazee Wa akaunti 200..mbona patanoga
 
Zitto kawazika, huyu dogo anajulikana kaja kumaliza upinzani hata alivyokuwa CDM alikuwa anapigia chepuo wabunge wa CCM na sasa kila kwenye mbunge wa NCCR kaingiza ACT na wanaoshinda ni CCM.

Kama angekuwa makini angevimba wabunge wa ACT washinde.
Unatoa upinzani ili CCM ishinde, WTF.
 
Si utani zzk ni political genius, nilimuona siku moja tu pale zhakem mbagala akimnadi mgombea wake wa urais na baada ya hapo akamtelekeza. Kumbuka kabla ya hapo aliivuruga cdm akitaka urais lakini baada ya kuwa na chama chake akaususa!
Kawashawishi wenzie lakini Kafulila akashtuka na waliomkubali wamemsaidia kurejesha ubunge wake na kupata halmashauri ya kuiongoza yeye mwenyewe huku wao wote wakipoteza.
Ni lazima uwe na akili nyingi kukamilisha mipango kama hii!
 
mtamaliza yote zito ni next level,vipi kuhusu kafulila?
 
Si utani zzk ni political genius, nilimuona siku moja tu pale zhakem mbagala akimnadi mgombea wake wa urais na baada ya hapo akamtelekeza. Kumbuka kabla ya hapo aliivuruga cdm akitaka urais lakini baada ya kuwa na chama chake akaususa!
Kawashawishi wenzie lakini Kafulila akashtuka na waliomkubali wamemsaidia kurejesha ubunge wake na kupata halmashauri ya kuiongoza yeye mwenyewe huku wao wote wakipoteza.
Ni lazima uwe na akili nyingi kukamilisha mipango kama hii!

zitto hata akitaka kugombea kwenu uchagani atapata hakuna sehem zito hakubaliki by ze wei mkuu we ndie uliahidi kutembea mtupu kibaha hadi posta?
 
Hakika Ulaghai wa Zitto Kabwe dhidi ya Machali umemfanya kumpoteza mwenzake hakika ulaghai wa kua wabunge 50 watajiunga A.C.T na Machali akaamini matokeo yake yeye ndo kazikwa rasmi.

N.B Uwezo wa Zitto Kabwe anaweza Kugombea Sehemu yoyote Tanzania na akapata Ubunge na anapanga Kugombea Jimbo la Chalinze.

mkosamali na kafulila Nao wamezikwa nanani?
 
Basi na akagombee huko Chalinze yaishe kuliko kuwaingiza wenzie chaka
 
Zitto kawazika, huyu dogo anajulikana kaja kumaliza upinzani hata alivyokuwa CDM alikuwa anapigia chepuo wabunge wa CCM na sasa kila kwenye mbunge wa NCCR kaingiza ACT na wanaoshinda ni CCM.

Kama angekuwa makini angevimba wabunge wa ACT washinde.
Unatoa upinzani ili CCM ishinde, WTF.

...mazoba hawatakuelewa! yanakomaa tu zito jembe, zito jembe, but kashindwa hata kumpa machali support ashinde?!
 
Zitto ni full bright politician.... Mwenyekiti Wa PAC sasa atakavyowachana wale wazee Wa akaunti 200..mbona patanoga

huo umwenyekiti wa pac atapata kupitia kambi ipi ya upinzani au chama tawala boss?
 
Zitto Kabwe ni mkatili hata ukimwangalia usoni tu utajua ni mnyama katika roho yake. Iko wazi na ni mtumishi mzuri wa chama cha Majambazi.
 
ukiangalia uso wa lema vipi?au wa mbowwe?
 
Moses Machali ajiunge na chama takachoanzisha Dr Slaa atasimama tena, ni mpiganaji mzuri. Kwa kweli Zitto ni mbaya sana.
 
...mazoba hawatakuelewa! yanakomaa tu zito jembe, zito jembe, but kashindwa hata kumpa machali support ashinde?!

machali hakulalamika we dada ndio unalalamika ajabu sana hii
 
Back
Top Bottom