Zitto Kabwe alimaanisha hivi..

Zitto Kabwe alimaanisha hivi..

hongera zitto kwa kucheza ka pelle,technical goal ndo uliwafunga sendeka akautoa mpira nje ya goli ndipo ubishani ulipoanzia wapinzani na wasiopenda wizi wanalinda goli ccm mnakataa,hongereni sana kwa msimamo wa pamoja
 
Hatua ile Zitto alikuwa amechoka......karibia siku kadhaa bila usingizi ukitumia akili kwa kiwango kile na bunge kuendeshwa kwa muda mrefu namna ile lazima akili ifike mwisho......otherwise amefanya kazi nzuri mno.......
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada nakubaliana na wewe kwani kuna mbunge alisema kuwa kwa kuwa kila mtuhumiwa wanasema mamlaka yake ya uteuzi ndo itamwajibisha,
na bunge linaweza kumwajibisha rais na waziri mkuu ndipo mafuriko yangemkuta pinda japo sendeka alishtuka.
 
Du game ilikuwa tough sana, nilipata wasiwasi kuona eti mtuhumiwa anatoa formulation ya adhabu kwa watuhumiwa wenzie. Mhe Mbowe kaokoa penalt dk za nyongeza kidogo nyavu zingetikisika.
 
Nakubaliana na wengi humu. ZZK alichoka kiakili. Kumbuka alikua amekesha akilinda ripoti yake kabla ya kuiwasilisha bungeni. Mjadala nao uliendeshwa kwa muda mrefu, kwa hali ile lazima angechoka tumsamehe tu kwa kuwa ni mpiganaji.
 
Hatua ile Zitto alikuwa amechoka......karibia siku kadhaa bila usingizi ukitumia akili kwa kiwango kile na bunge kuendeshwa kwa muda mrefu namna ile lazima akili ifike mwisho......otherwise amefanya kazi nzuri mno.......


Humu ndani kuna watu wana chuki na Zitto, mtu akikuchukia huwa anakutafutia sababu akunange. Ndio kilichotokea jana.

it was merely a blip, lakini kuna waheshimiwa humu wanataka kutengeneza mlima kutoka kwenye kichuguu.

Hate is a very powerful thing.
 
Last edited by a moderator:
kwa namna escrow ilivoleta mafanikio kwa kijana zzk hakika chadema haina budi kumrudisha kundini na imethibitika tu pale baba wa zito kisiasa mh mbowe alipoona mwanae anasema akil imechoka bila hayana alisimama na kumpigania jahaz lisizame welcom home again mh zito its cdm mzee

Hakika jana mbowe aliokoa jahazi na mwanawe Zitto
 
Last edited by a moderator:
Hili liko wazi sana, alivyosimama Chenge nilimuona at that time alipewa muda wa kuongea Wenje then baadae akaja Chenge akaongea aliyoyaongea ngoma ikasapotiwa kiCCM then zitto akamaliza short n'clear.
Kuanzia mwanzo wabunge wa CCM walikuwa wanakataa katibu mkuu kujiuzulu ili mambo mengine yaendelee sasa alichoongea Chenge na kikakubalika kiCCM ndiyo hichohicho kingeendelea kwa Sos, Werema na Pinda.
Zitto akaona huu ni ujinga kumbe waizi wanateteana mpaka bungeni, wacha wateteane

Hakupaswa kukata tamaa mh Zito angekaza km mh mbowe mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom