ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Na ukiondoa uzuri Zitto yuko MSALITIukiondoa USALITI Zitto yuko vizuri.
It is true.Muwe mnamalizia vichwa vya habari ,wengine mtatuua na presha ...hebu malizia ni mapinduzi ya nini
we umekamilisha upi?Ukikamilisha mradi huu ndio ntakupongeza. Maana huwa unaanzisha halafu unaishia mitini? Vipi kuhusu ecotourism mwamgongo,? Wale wazungu ulioeatelekeza wanaendelea?
Imekuwa hivyo tena.. .hahahah, do you know me?we umekamilisha upi?
wewe ni mkosoaji...haujawahi kuwa original ili ukosolewe
bisha!
Lakini Mbagala Zakhem wanakusubiri umshitaki Dr Tulia kwa kufuta TV live? Wanakusubiri Makumbusho pia kuichambua bajeti. Uvinza Ujiji utapata muda kweli.TUNAKUPONGEZA SANA MBUNGE WETU PEKEE KUPITIA CHAMA CHA Act Wazalendo KWA KAZI KUBWA UNAYOIFANYA KATIKA JIMBO LAKO.
"Katika kuchochea ukuaji wa uchumi mkoani Kigoma, Manispaa ya Kigoma Ujiji ina mkakati wa kuhuisha mji wa Ujiji Kwa kuimarisha soko la Ujiji na Bandari ya Ujiji.
Soko la Ujiji lina Mradi maalumu wa kujenga Kituo cha Kikanda cha Biashara ( trading and logistical center - Ujiji City Project ).
Mradi huu utakaotokana na uwekezaji kutoka nchini China utawezesha ujenzi wa maduka 3000, Warehouses na nyumba za makazi.
Lengo la Mradi huu ni kuwezesha Ujiji kuwa eneo ( a Hub ) la wananuzi wa bidhaa kutoka Nchi za Maziwa Makuu badala ya watu hao kusafiri kwenda Mashariki ya mbali.
Leo nilikutana na Balozi wa China nchini Tanzania ili kufuatilia Kwa karibu Mradi huu pamoja na miradi mingine ambayo wawekezaji wa China wanawekeza nchini kwetu. Kigoma ni mkoa wa biashara.
Ujiji ni mji wa biashara. Tunataka kuirudishia Ujiji hadhi yake hiyo ya toka karne ya 16.
Zitto Kabwe
Mbunge Kigoma Ujiji "
Mkuu Ben, wivu wa nini?!. Bahati nzuri nimetoka, lile kabila ambalo hatunaga wivu kabisa!. Mimi mwenyewe baada ya ndoa na kufyatua wawili, nilimruhusu wife kwenda US kupiga shule ya miaka 4!. Mtu mwenye wivu angeruhusu? !.Pasco bhana...Sasa sijui ni wivu wako tu uliyoandika au umezingatia tu weledi.Nimecheka sana