Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

Status
Not open for further replies.
Ninaamini hoja ya Zitto kuhusu watanzania walioficha mabilioni ya fedha uswis itakuwa imejadiliwa katika party coccus ya chama.

Leo AG Werema kasema Zitto alisema hana majina wala account za wenye fedha uswis tena kwa kiapo. Kwa maana hii;

Nataka chadema iseme kama hii hoja ya Zitto kama wanaifahamu vizuri.

My take:
Kwa mujibu wa Werema Zitto kadanganya. Ni wakati sasa chadema imfukuze Zitto, na wasipomfukuza tutajua hiki chama kinafuga waongo. Hawezi akadanganya watz kiasi hiki.

Mkuu sixgates umeona jinsi chama makini kinavyoona mbali! Bac vuta subira2 baada ya siku tatu huyu muongo na msaliti atasahaulika kama marehem aliekufa mwaka 1500.
 
Nashindwa kushangaa kwa nn magamba yamemsaliti Zitto wakati yalikuwa yanampigia chauo awe mwenyekiti wa CHADEMA taifa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni tapeli wa kisiasa anayetumia mdomo kutafuta rushwa wala sio umaarufu.Alikuwa akitishia ili wadhani anayo kweli ili hao anawatishia wamhonge rushwa.Nilifurahi siku moja Spika makinda alimbana mbunge mmoja anayejiita alikuwa polisi zamani akisema ana majina ya wauza unga.Spika akambana pale pale akamwambia yataje sasa hivi akabaki anahaha hataji.Hadi leo yuko kimya.Kinanachoudhi wanatumia muda wa bunge kudanganya wananchi na kujaza hansard kwa upuuzi wa uongo.
teh teh, mbavu zangu mie!
 
staki kuamini kama haya yote yanamtokea..staki kuamini sixgates na FaizaFoxy kama leo wameelewa tofauti..labda nipo ndotoni nikiamka itakuwa tofauti
 
Last edited by a moderator:
Waongo bongo mbona wengi tu, jk nae mlisha sahau alisema majina ya wauza unga anayo? vp mbowe nae wapiga mabomu mbona hataji?

kama bunge lilijiridhisha kuunda tume bila shaka kuna kitu sitaki kuamini kua tume ilitegemea majibu ya zito pekee! kama kweli walifanya uchunguzi watoe ripoti yao isomwe bungeni ili kupata hitimisho then zito achukuliwe hatua kama tume imedhibitisha hakuna waloficha pesa uswisi!

itambulike pia kutaja kuna mambo ya kiusalama ndo maana iliundwa tume,!! kama zito anatosha kutoa majibu yote bac wangeishia kwenye kumuhoji zito pekee bila kuunda tume!!!

tunataka ripot isomwe tuyamalize!
 
Zitto ni mzigo usiobebeka, kumbe hana majina. Ameishawasingizia baadhi ya watu km mwanasheria mkuu mstaafu, mkuu wa jeshi mstaafu na waziri mkuu mstaafu. Apelekwe mahakamani kwa kuwakashfu, na hata km hajawataja majina wastaafu wote ktk nafasi hizo waungane wamchukulie hatua za kisheria.
 
BADO ZITTO HASTAHILI KUFUKUZWA NDANi YA CHAMA KWANI HATIA INAYOMUKUMU MOJA KWA MOJA AFUKUZWE NDANI YA CHAMA HAIPO
 
Narudia tena : 'TOILET PAPER RELATIONSHIP' Huu uhusiano wa zito na CCm niliuona mapema sana kwamba jamaa anatumika na akichafuka hawatataka kumuona tena.
 
Mkuu Molemo Mungu ameanza kujibu kilio cha wanyonge

Watu wakiomba kwa Imani bila kumuonea mtu Mungu anajibu haraka sana...

Nawafananisha sasa na wale watu waliotaka kujenga mnara kwenda kwa Mungu wakapigwa fimbo ya Ulimi kila mtu akaongea lugha yake na mnara ukafia hapohapo

Chadema ni mpango wa Mungu
 
Last edited by a moderator:
Hivi zitto ni mtu wa kutufanya hadi mimi na FaizaFoxy wapumbavu. Hivi anacheza na akili za watanzania?? Chadema fukuza zitto.

Mmeshamuhonga.

Zitto Pengine alikua na hayo majina lakini kwa kiasi alichohongwa ameona bora fedheha ya kuonekana muongo kuliko lawama za kuiacha rushwa ipite hivi hivi huku anaitamani! !
 
Last edited by a moderator:
Zitto tangu aanze kujishaua wana ccm walijitokeza kumkingia kifua nashangaa leo wanamshurutisha kwa kejeli shujaa wao alietukuka
 
Sasa nasubiri presser ya 'wakili msomi':smile-big: Albert Msando pale Serena kujibu tuhuma za AG.

Mh. Zitto is Very Smart, Zitto ameshavuka level ya siasa za kukimbia kimbia na hoja, Zitto yuko juu kiasi kwamba sasa hivi anaweza kujua mpinzani anakusukumia wapi hivyo umfanyaje aidha kumtega au kumwingiza yeye kwenye mtego, Zitto anacheza Siasa kwa mtindo wa mchezo wa bao la Draft, pale ambapo unaruhusu mpinzani wako afurahie matokeo ya muda ya kula kete yako moja alafu kwa kufanya vile anakupa nafasi ya kupiga Kete Tatu mfululizo na kuingia KING, Just wait, open your eyes, you will see by yourslef hii SAGA itkakoishia itakuja kuwaadhiri watu, It is a matter of Time,
 
Zitto amegeukwa na wenzake pia. Zitto kwanza anatakiwa kushtakiwa baada ya kuchukua rushwa kutoka kwa Kimei na kuihamisha account kwenda benki nyingine. Taarifa zinakuja subirini tu maana ushahidi nje nje!

Tufukunyulie japo kiduchu mkuu!
 
Jana mtu mmoja anaejulikana kwa majina ya Juliana Shonza (could be Fyonza as well maana sikumbuki vema) alidai kuwa Zitto Kabwe ni kiongozi makini (akidai eti Zitto na yeye Juliana wana akili kuliko Dr Slaa)! Namsubiri aje hapa leo aseme hayo tena!

Juliana Shonza ni mchumia tumbo anaganga njaa kwa mgongo wa Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni mlaghai, Mlafi na mpenda Misifa yaani kote kukomaa kwenye media eti hana hata akaunti namba ya mtu huko USWISi, Madam Speaker simamisha huyo kichaa ubunge kwa miezi minane na salary asipokee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom