Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Japkas

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
4,075
Reaction score
6,616
Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi wenyewe. We will go it alone as a party to defend our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika tarehe 10 Agosti 2015.

Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.

 
Hayo yote ni madhara ya safari ya matumaini. Laigwanan Lowasa amewavuruga wengi na bado wengine wengi wanakuja na wataweweseka sana.
 
We will go it alone as a party to defend
our principles.

Oooh, unajua mimi ni msomi sana...

"Thus why am so wonders..."
 
Mbona kama wanajishtukia uchawi, nini kinawakimbiza wasishirikiane na wengine?
 
Inamaana mkataba wao na CCM utakuwa umeshakwisha ama wanataka kutuambia ya kuwa CCM yetu haita kuwepo. Waendelee na UKAWA yetu i.e ACT-CCM. ACT-CCM hoyeee....!
 
Aaahh kwendeeeee kuleeeeeeeeeee, kama hataki kuunganisha nguvu na wenzake, afieeeeeee mbali kuleeeee, Zitto bullshit...!!!

Act walituma barua ukawa kutaka kujiunga hadi leo haijajibiwa unafikiri watafanyaje zaidi ya kujipanga upya kivyao.
Wa kulaumiwa ni chadema ambao ni wabinafisi wanaofikiri wanaweza kuingia ikulu bila kushirikiana na vyama vingine.
Usishangae hata huu ukawa ukavunjika.
 
Act fyekeni pori msiwe na shaka wananchi tuko pamoja tutawapigia kura za kutosha za uraisi na ubunge hivyo mjiandae kushika dola.
 

Bado tunangoja wale wabunge 50 wa kujiunga na ACT
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…