Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
[B said:Lu-ma-ga[/B];1748530] Augustino Lyatonga Mrema ameamrisha kukamatwa kwa afisa wa Halmashauri ya Rombo eti kwa ubadhirifu
"boundaries" za majukumu ya kamati za bunge. waziri wa nishati na madini, kuwa ni nani kati ya William Ngeleja na January Makamba.
Hawa wenyeviti wa kamati za Nishati na Madini (Makamba), mahesabu ya Serikali za Mitaa (Mrema) na mahesabu ya Mashirika ya Umma (Zitto) QUOTE]
Tuwaache Zito, Mrema, Makamba etc wafanye kazi zao. Serikali (Executive) inafanya kazi ya Bunge na Mahakama(Judiciary). tumeona mara kadhaa serikali ikiiaamulia Bunge/Mahakama. Tanzania ya C** haina utawala wa kuzingatia hii mihimili. Ingelikuwa hivo mkwere asingalikuwa hapo alipo.
Kama mawaziri husika (executive) wameshindwa kazi wache kina Makamba et al.. (Parliament) iwasaidie. Ni kwa maslahi ya nani iyo kitu ingine.
Hii ni camouflage lakini ushauri wangu ni kuwa mkiendelea mtaanguka zaidi sababu yake. Kwenu nyie upinzani ni kuchukia kila kitu kinachofanywa na Serikali.Rafiki Zitto.
Nakuandia ushahuri huu kwa dhati kabisa, una haki ya kuuchukua au kuupuuza.
Nakushauri kwamba kwa jitihada ambazo umekwisha kuzifanya mpaka sasa juu ya N.S.S.F kuuziwa Mgodi wa Kiwira, ni bora ukaishia hapo ulipofikia, umesema ya kutosha, kama kweli ni ushahuri ama wako binafsi ama wakamati yako ya Bunge ni vyema ukawaachia wote unaowashauri waufanyie kazi ushauri wako ama waukatae sababu hili swala litakuchafua zaidi.
Kumbuka kwamba Watanzania wenye nia ya kurejesha ustaarabu katika utawala wa nchi yetu wamekwishapoteza imani na wewe kutokana na actions zako za muda mrefu sasa, lakini kutokana na imani kubwa sana ambayo bado wanayo kwako wanakuchukulia poa hasa kwa imani kwamba Binadamu hatujakamilika na kukosea ni sehemu ya kujifunza hasa mkosaji anapoonyesha jitihada na kisha mafanikio katika kuhakikisha harudii kosa.
Mtazamo wangu ni kwamba, nguvu za mafisadi zinakuzidia nguvu kadri ziku zinavyokwenda, na Imani yangu ni kwamba hawakuzidi nguvu by coincidence bali ni strategically kwa kukutumia, na unawasiliana nao katika hatua zako zote ambazo wewe binafsi naona kama unadhani hiyo nafasi uliyonayo ya uenyekiti wa kamati ya bunge ni kinga tosha ya kusingizia kwamba unafanya kazi za taifa.
Unayo nafasi ya kujirekebisha, japo uwezo huo sidhani kama unao tena, hasa kutokana na uko ulikofikia sasa, umefika deep water my comrade.ZITTO mafisadi wamekuzidia kiasi kwamba sasa hauna nguvu kabisa za kuisonta serikali ukiwa katika spirit ya UMA/CHADEMA, sasa hata ukijitutumua kuisonta serikali unajificha kwenye kamati ya Bunge ya nini sijui!! Sio wewe
Sasa kwa kifupi ni kwamba, N.S.S.F wanayo idara inayojishughulisha na utoaji taarifa kwa UMA, waache wao wenyewe waje (Kama haujatumwa) na kuzungumza nasi ama kwa kutupa taarifa za mpango wao wa kununua Kiwira au kwa Mapendekezo,ila hii deal uliyonayo sasa ya kujustify kwa nini wao wapewe Kiwira mimi ntakuuliza swali, kwa nini wasipewe PPF, kwa nini wasipewe PSPF.Unatakiwa kuwa consistent kama unataka tuendelee kuamini kwamba akili yako bado ni nzuri na unathink Big. Idea nzuri kabisa lakini why do you narrow to NSSF.
Kazi ya Kamati yako ya Bunge sio kuwa maafisa miradi wa Mashirika ya UMA, toa ushauri then stop there, Kama watu wanapewa ushauri mzuri alafu wanaupuuza na wao hawaji na mbadala wa mawazo na matendo shauri waondolewe. Lula MwanaNzela na Mwanakijiji wametoa hoja za msingi kama maoni yao ya kupinga mpango huu na naona tayari Umeanza kupambana nao.
Hapo Nyuma tulimpenda sana Mkwere, Tulimpenda sana Lowasa walipotugeuka na sisi tumewakataa.
Wewe sio exceptional
Hii ni camouflage lakini ushauri wangu ni kuwa mkiendelea mtaanguka zaidi sababu yake. Kwenu nyie upinzani ni kuchukia kila kitu kinachofanywa na Serikali.
Napata shida kidogo kujua "boundaries" za majukumu ya kamati za bunge. Niliwahi kuanzisha thread iliyohoji nafasi ya waziri wa nishati na madini, kuwa ni nani kati ya William Ngeleja na January Makamba. Naona kuna mkanganyiko mkubwa sana wa muingiliano wa majukumu kati ya kamati na wizara. Na hii si kwa kamati ya nishati na madini pekee bali ni kwa kamati zote za bunge za msimu huu.
Inaonekana wenyeviti wa kamati na kamati zao kwa ujumla wamekuwa na sauti kubwa kushinda hata mawaziri husika. Tukichukulia kamati ya zito kwa mfano, inaitwa kamati ya hesabu za mashirika ya umma. Iweje leo iwe mstari wa mbele katika kuhakikisha ubinafsishwaji wa shirika? Hata kama hilo ni moja ya jukumu lake lakini naamini wanachopaswa ni kutoa ushauri tu na si kurasimisha ushauri wao kuwa matekelezo. Nadhani zito umenisikia.
Hivi Kiwira kununuliwa na NSSF kuna tatizo lipi? au Kiwira ibaki ikijifia bila mtaji na wapewe wawekezaji wa nje bila ubia na Taasisi au mashirika ya ki Tanzania ndio vyema?
Nawashangaa sana wanaoona kuwa NSSF haipaswi kuwekeza Kiwira.
Zitto,Rafiki Zitto,
Nakuandia ushahuri huu kwa dhati kabisa, una haki ya kuuchukua au kuupuuza.
Nakushauri kwamba kwa jitihada ambazo umekwisha kuzifanya mpaka sasa juu ya N.S.S.F kuuziwa Mgodi wa Kiwira, ni bora ukaishia hapo ulipofikia, umesema ya kutosha, kama kweli ni ushahuri ama wako binafsi ama wakamati yako ya Bunge ni vyema ukawaachia wote unaowashauri waufanyie kazi ushauri wako ama waukatae sababu hili swala litakuchafua zaidi.
Kumbuka kwamba Watanzania wenye nia ya kurejesha ustaarabu katika utawala wa nchi yetu wamekwishapoteza imani na wewe kutokana na actions zako za muda mrefu sasa, lakini kutokana na imani kubwa sana ambayo bado wanayo kwako wanakuchukulia poa hasa kwa imani kwamba Binadamu hatujakamilika na kukosea ni sehemu ya kujifunza hasa mkosaji anapoonyesha jitihada na kisha mafanikio katika kuhakikisha harudii kosa.
Mtazamo wangu ni kwamba, nguvu za mafisadi zinakuzidia nguvu kadri ziku zinavyokwenda, na Imani yangu ni kwamba hawakuzidi nguvu by coincidence bali ni strategically kwa kukutumia, na unawasiliana nao katika hatua zako zote ambazo wewe binafsi naona kama unadhani hiyo nafasi uliyonayo ya uenyekiti wa kamati ya bunge ni kinga tosha ya kusingizia kwamba unafanya kazi za taifa.
Unayo nafasi ya kujirekebisha, japo uwezo huo sidhani kama unao tena, hasa kutokana na uko ulikofikia sasa, umefika deep water my comrade. ZITTO mafisadi wamekuzidia kiasi kwamba sasa hauna nguvu kabisa za kuisonta serikali ukiwa katika spirit ya UMA/CHADEMA, sasa hata ukijitutumua kuisonta serikali unajificha kwenye kamati ya Bunge ya nini sijui!! Sio wewe
Sasa kwa kifupi ni kwamba, N.S.S.F wanayo idara inayojishughulisha na utoaji taarifa kwa UMA, waache wao wenyewe waje (Kama haujatumwa) na kuzungumza nasi ama kwa kutupa taarifa za mpango wao wa kununua Kiwira au kwa Mapendekezo,ila hii deal uliyonayo sasa ya kujustify kwa nini wao wapewe Kiwira mimi ntakuuliza swali, kwa nini wasipewe PPF, kwa nini wasipewe PSPF.Unatakiwa kuwa consistent kama unataka tuendelee kuamini kwamba akili yako bado ni nzuri na unathink Big. Idea nzuri kabisa lakini why do you narrow to NSSF.
Kazi ya Kamati yako ya Bunge sio kuwa maafisa miradi wa Mashirika ya UMA, toa ushauri then stop there, Kama watu wanapewa ushauri mzuri alafu wanaupuuza na wao hawaji na mbadala wa mawazo na matendo shauri waondolewe. Lula MwanaNzela na Mwanakijiji wametoa hoja za msingi kama maoni yao ya kupinga mpango huu na naona tayari Umeanza kupambana nao.
Hapo Nyuma tulimpenda sana Mkwere, Tulimpenda sana Lowasa walipotugeuka na sisi tumewakataa. Wewe sio exceptional
Najua hii ilipoanzia!
Ule mchezo wa kulipua jengo la Uwekezaji Nairobi na kufahamisha umma kuhusu mifuko mingine kutaka kutumika. Sasa naona mmeanza kuona NSSF inaelekea kupata faida kubwa na hivyo sifa kwa utawala wake mnaanza kushambulia watu wanaotazama mema ya nchi. Siasa wekeni kando na kamwe cha juu hamtapata kwa kuwa NSSF hatutoi rushwa.
Narudia sisi ni zero corruption zone na Hosseah anajua. Zitto achana na hawa
Hapa issue ya Msingi na ambayo hata wewe unajifanya hujaiona ama kwa makusudi au tu we ni kilaza ni kwa nini NSSF???may be Zitto angesema Mifuko ijitolee kuwekeza na si ku pendekeza NSSF,hii ni Logic kabisa,Mawazo ya Zitto kupendekeza NSSF ipewe Kandarasi hiyo yanatofauti gani na Force za Lowassa Kuipa Richmond Kandarasi,tofauti yake ni kuwa Lowassa alikuwa PM na Zitto ni just Mwenyekiti wa Kamati tu,lakini Maudhui yao unawezakusema kuwa ni sawa,Lowasa alitaka na alishinikiza Richmond ipewe Kandarasi ya Kufua Umee,alikuwa na Personal interest pale, je Zitto akitaka NSSF ipewe hiyo Kandarasi tumueleweje??
Ifikie Mahali hata Mkeo unayempenda vp akikosea umwambie ukweli na sio kumchekea chekea tu
Mkuu hata mm sikuona tatizo mawazo ya zitto juu ya kiwira lakini inashtua kuona wenye mawazo tofauti kushambuliwa na kamati ya zitto tena tukiamini kwa baraka zake! Nilishatabiri bado kuna kitu nyuma ya zitto na mwisho wa siku atatushangaza! The means justify the end.Tanzania nakupenda sana na tutakufia bila woga.Tatizo hapa ni Zitto kusemea hili jambo au ni NSSF kupewa Kiwira?
Inawezekana kwamba tunapinga kwa sababu Zitto kasema au tunakubali kwa sababu Zitto kasema.
Sisi, mimi na wewe, tunasemaje?
Na Zitto hawezi kutoa amri, naamini hilo analijua na nafasi yake ya kushauri kama kamati anaifahamu. Mawazo yake ndio ya kujadiliwa. Kwa nini anasema hivi na sio vile.
Mwisho, tunawasiwasi na NSSF kutokana na uwezo au tunawasiwasi kuna watu watakula hapo katikati?
Kama ni sababu ya pili, basi tuna tatizo zaidi. Kwa nini mtu ambaye tunawasiwasi nae ndie amekabidhiwa fedha zetu na ndie anaendelea kupokea makato yetu? Kwa nini tusisafishe huo uozo tunaoungelea?
Nitarudi nikishaielewa vizuri hii mada.