Zitto hiyo si demokrasia

Kweli wewe ni mateka wa Mbowe, Eti jimbo linaitwa "Mbowe" lipo mkoa upi hilo jimbo mkuu??
 
Akili ya Zitto nyie Bavicha wote hata robo hamuwezi kumfikia achalia mbali ma boss wenu.
...ingekuwa hivyo angeweza kusimama kama mwanaume kuliko kujikomba komba kwa chadema na nccr kila kukicha, hamnamo kitu mlee bhahahhaaaaa...!! debe tupu kelele kibaaaoo..
 
Sasa yeye ashachukua fomu na kurejesha, ratiba inatoka nyuma yake, sielewi hapo ebu mnijuze vzr ikoje?
 
Kwani Ritz uko ACT- Wasaliti au? Maana kila thread sumo au kwakuwa chama chetu B?
 
Huyu Bavicha kaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF anajua kabisa wapo pro-Chadema watakubaliana naye bila kuhoji hali muradi katajwa Zitto.
Mkuu hata kwenye mwezi mtukufu unatetea majambazi?
 
Last edited by a moderator:

Nyani haoni ----- lake kweli babu slaa mbona ameisha tangazwa kama ndio mgombea wa urais Chadema hujaniona hiyo
 
duh zitto anatetewa na ritz1, dah hivi zitto nae yumo eeeh duh? 30u3@""$""%252"4!XX Huku kama sio kuchanganyikiwa ni nini.

ila tuna jua ndani ya ccm sasa hivi hali si shwari
 

Na hawa CDM wanaoiandama ACT nao tuwaitaje?? Maana huu Uzi umeletwa na Mwana CDM akihangaika na zito badala ya CCM
 

Hii taarifa kaiandae vizuri, unless huwezi kulipwa na waliokutuma.
 
Mkuu vipi Mbowe amekuwa supreme leader pamoja na mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hawa wote marufuku kuwapinga ukijaribu tu kuwapiga utajuta utafukuzwa kama paka.



Sasa CUF wao kila baada ya Miaka 5 huwa wanabadilisha wagombea Urais huko Zanzibar na kwa Tanzania???

Naona toka 1992 Wana Either kwa Tanzania LIPUMBA 1 au 2 au 4 na kwa Zanzibar wana SEIF HAMAD 5 au 6 au 4 kila mwaka Mashati Mapya na Miongozo mipya...

Nadhani pia EMMANUEL MAKAIDI na yule MCHUNGAJI MTIKILA wote Wanaamua lini wanagombea Urais na wewe
Ritz haulalamiki///???....

Lakini Umebakiza Chuki kwa CHADEMA kwasababu unaona ndio TISHIO kwa Ulaji wenu ndani ya nchi HURU iliyokuwa inaitwa TANGANYIKA...



"If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor"


Their hearts are cold, often full of prejudice and even hate...


‘It's the old metaphor isn't it; you can lead the horse to water but you can't make it drink
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…