sisi kwa sisi
Senior Member
- Feb 1, 2012
- 119
- 2
litafute uone mamboMimi sijalisoma na sidhani kama nitalipata gazeti hilo.
Sasa, kwanini usiandike uzi wako kwa mapana, ukichanganua na kunukuu pale ambako unahisi kuna shida ila sisi wachangiaji tusitoe maoni yetu kwa hisia na ushabiki?
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.
Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya Chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa Chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na Chama.
Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu Uhusiano wake na Uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii
niliyokuwa nayo yoooote umeyamaliza mkuu1. hiyo kauli imetolewa na kiongozi yupi wa CDM ?
2.JE MWANAHALISI NI MSEMAJI WA CDM?
3.zitto anaonewa kivipi na CDM? labda useme mwanahalisi anamwonea zitto ila NAKATAA as mwanahalisi ametoa ufafanuzi mzuri so ni wajibu wa Zitto naye kutoa maelezo ya ziada incase
4.Mwanahalisi hambebi/hamkandamizi mtu yeyote ila anabeba hoja..Ikiwa JK atakuja na hoja ya maana mwanahalisi ataianisha na ikitokea Slaa kaja na pumba tutaelezwa pia
hakuna kitu dada yangu,gazeti linamnukuu ofisa mmoja wa cdm akikanusha habari za zitto kusema kuwa hoja ya kumuona rais ilitolewa na regia kwa mara ya kwanza.ofisa huyo anaeleza kuwa pendekezo hilo lilitolewa kwa mara ya kwanza na kamati kuu kufuatia taarifa ya mtaalam wa chama aliyepewa jukumu la kukishauri chama juu ya hatua muafaka za kuchukua baada ya ccm na ccm b kuchakachua mswada wa katiba mpya.ofisa huyo anasema kuwa rejia hakuwa mjumbe wa kamati kuu na kuwa wakati mamboi yakijadiliwa zitto hakuwepo kwani alikuwa mgonjwa.si wote tuliosoma hilo gazeti hvy ni bora uweke mambo yaliyoandikwa.
Ndugu,
Kwa kawaida mkikaa kwenye kikao, mmoja wenu akaleta hoja, ikajadiliwa kwa mapana na mwishowe hoja hiyo ikapitishwa au ikakataliwa uwa SIO nani kakubaliwa au kakataliwa bali kikao kimekubali au kimekataa.
Jambo la muhimu katika hoja ya CHADEMA kwenda kuonana na Rais ni moja tu walifanya jambo la maana au la! Nani alitoa hoja, nani alimuunga mkono au nani aliguna si jambo la kuumiza vichwa ila la maana hapa ni kwamba walipoenda kuonana na Rais walifanikiwa katika hoja zao au la. Kikao kiliamua kuonana na Rais basi.
Mimi sijalisoma na sidhani kama nitalipata gazeti hilo.
Sasa, kwanini usiandike uzi wako kwa mapana, ukichanganua na kunukuu pale ambako unahisi kuna shida ila sisi wachangiaji tusitoe maoni yetu kwa hisia na ushabiki?
niliyokuwa nayo yoooote umeyamaliza mkuu
Kwani ww ndie msemaji na mtoa majibu wa cdm? Au...1. hiyo kauli imetolewa na kiongozi yupi wa CDM ?
2.JE MWANAHALISI NI MSEMAJI WA CDM?
3.zitto anaonewa kivipi na CDM? labda useme mwanahalisi anamwonea zitto ila NAKATAA as mwanahalisi ametoa ufafanuzi mzuri so ni wajibu wa Zitto naye kutoa maelezo ya ziada incase
4.Mwanahalisi hambebi/hamkandamizi mtu yeyote ila anabeba hoja..Ikiwa JK atakuja na hoja ya maana mwanahalisi ataianisha na ikitokea Slaa kaja na pumba tutaelezwa pia
Zitto Kabwe ana kiherehere sana hata juzi Juma Mkamia aliomba muongozo ili ajuwe kwamba Zitto Kabwe nae ni miongoni mwa wasemaji wa ikulu!!??
Watu wa Kigoma kwenye siasa wana matatizo sana hasa hawa ambao wamechanganyika na utusi ndani yake.