Zitto hana sababu ya kutwitch ,yeye kasema akiondoka chadema itapasuka tunataka aondoke tuone mpasuko wa chama na akaendeleze Masalia bin CHAUMA nje ya chama lugha mbona zinabadirika na hata wiki haijapita alikuwa anatamba hapa kwamba yeye ni ngunguri ,wacha chama kibaki na watu kumi wenye nia safi ya kusimamia mabadirikoHuu mgogoro ni lazima tuuangalie kwa tahadhari kubwa unaweza kutumiwa na maadui zetu kudhoofisha chama. Me nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa kamati kuu ya chama kusuluhisha huu mgogoro kwa manufaa ya chama kwani kwa mawazo yangu binafsi chama kinawahitaji sana wote wawili kwa ajili ya kuleta mapinduzi ya nchi yetu.
By Wabhejasana
"Hakuna ubishi kwamba Zitto anakubalika na anao wafuasi wengi na hasa ukanda wa Ziwa ambao hakuna ubishi kwamba una watu wengi,lakini Slaa naye ana kundi kubwa ingawa kwa kiwango kikubwa anaonekana kuungwa mkono zaidi na watu kutoka kaskazini ambao ukiangalia idadi yake si kubwa kama ile ya Ziwa,kwa hiyo kinachokuja kutokea hapa ni kwamba zitabaki zile kanda za kusini,kati na mashariki ambapo huko itategemea nani mwenye mvuto zaidi na kwa vyovyote ni lazima watagawana ingawa kuna mshindi lazima tapatikana bila kujali ni Zitto ama Dr Slaa"
Huku ni Uongo mkuu. kukubalika kwa Zitto kulitokana na Juhudi za DR. Slaaa,
Wabunge wengi wa Chadema wameongezeka bungezi ni juhudi za DR. Slaa
kanda ya ziwa DR. Slaa anakubalika kuliko mtu yeyote : wazeee kwa vijana , zitto labda akubalike kigoma peke yake na Tena kwenye jimbo lake.
Baada ya DR. Slaa kanda ziwa anayefuata kukubalika ni Maghufuli, ambaye sasa umaarufu wake umeanza kupungua.
Kwa kanda ya ziwa List ya wtu wanokubalika.
DR. Slaaa....60%
Maghuli........15%
Sitta.............12.5%
Zitto..............12.5%
Nyanda za Juu kusini.
DR. Slaaa.........54%
Mwandosya.......30%
Mwakyembe.......11%
Zitto.................05%
Kusini(Lindi,Mtwara)
Membe..........54%
DR. Slaa..........36%
Zitto..............10%
Nyanda za Juu kaskazini
DR. Slaa..........70%
Lowasa...........26%
Zitto............04%
Dar + Pwani
Kikwete......48%
Dr. slaaa......42%
Zitto...........10%
pamoja na hayo lakini hatuwezi kutumia njia za kidiplomasia kulimaliza hili? Wasi wasi wangu yasije kutukuta yaliyotokea NCCR mageuzi kipindi kile. Tufanye compromise for good will ya chama, watanzania wanatuangalia kwa macho ya matumaini tusije kuwaangusha 2015.Zitto hana sababu ya kutwitch ,yeye kasema akiondoka chadema itapasuka tunataka aondoke tuone mpasuko wa chama na akaendeleze Masalia bin CHAUMA nje ya chama lugha mbona zinabadirika na hata wiki haijapita alikuwa anatamba hapa kwamba yeye ni ngunguri ,wacha chama kibaki na watu kumi wenye nia safi ya kusimamia mabadiriko
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.
pamoja na hayo lakini hatuwezi kutumia njia za kidiplomasia kulimaliza hili? Wasi wasi wangu yasije kutukuta yaliyotokea NCCR mageuzi kipindi kile. Tufanye compromise for good will ya chama, watanzania wanatuangalia kwa macho ya matumaini tusije kuwaangusha 2015.
Twith,panic,fear,anxiety,stress,trauma,phobia ya nini kinakuja mbele ya Zitto ndio sifa alizonazo saa hizi mitandaoni,magazeti,redioni kujaribu kufanya damage control haisaidii,ukanda ,na umama wa ukanda ni melody iliyokwishamia mkuu slaa makao makuu kweli na sababu ipo waz mtaani zitto waulize vijana nan kawa inspire kuingia kwenye game leo hii wanamuona ***** lakin tufanye uchunguz ni vjana wa ukanda upi hili suala la zito linazd kunifkirisha kukubaliana ndan ya chadema kuna ukanda but time will tell
Join Date : 9th September 2012
Posts : 1,092
Rep Power : 534
Joined with 17 days 1092 post ??????? 65 per day 3post per day
Sorry mkuu inawezekana umetuma under a certain mission na prezee aka Zitto
We do not buy this RUBBISH
Huu up.upu ulioandika hapa mtumie Zitto kwenye account yake ya twitter John Mnyika ameshatoa maelezo ya taatibu za chama na Kwamba suala hili linashughulikiwa . Nyie wafuasi wa zitto siku zote ndio mnaomuharibia .Pia inaelekea Zitto kwa tabia yake ya kutokukubali kushindwa ndio anaandika haya na kuwapa m-post .
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.
Hallo mwanzisha thread,
Usijaribu kucheza na akili za makachero kama mimi. Wewe uliyeanzisha thread ama ni mkuu wa kikundi cha masalia au ni mfuasi wake. Na nia ya kuanzisha hii thread ni kuomba msamaha kwa njia ya ku-blackmail kama ambavyo mmekuwa mnafanya siku zote. Na wachangiaji wote wa mwanzo mwanzo wanaokuunga mkono ni wewe/nyie wenyewe kwa wenyewe, mtindo ambao nao mmezoea kuutumia. Unasema Dr Slaa wakae na Zitto eti Chadema imegawanyika vipande viwili? Hebu acheni kucheza na akili za watu bwana. Mlikubali kutumiwa na CCM na mtavuna mlichopanda. Kama kweli mna nia ya kuomba msamaha jitokezeni muungame mbele ya umma na wacheni hizi njia za ku-blackmail eti Zitto akiondoka Chadema itakufa.
Nikweli Zitto alikuwa insperation hata kwa mimi kuamini kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanawezekana, lakini mimi na pursue cause ya mabadiliko kwa kufuata dira ya chama siyo matakwa ya mtu, mimi siyo mfuasi wa mtu, na vijana wengi wa sasa wana pursue dira ya chama siyo mtu kama wewe bado unafuata watu you will be dissapointed very soon, i gurantee you that! Simama na vison ya chama kinataka kufanya nini kwa umma, maamuzi ya chama ndio yatakayotuongoza namna ya kumkabili adui ufuasi utakiua chama, mtu wako asipotishwa kwenye kura za maoni utafanyaje!mia mkuu slaa makao makuu kweli na sababu ipo waz mtaani zitto waulize vijana nan kawa inspire kuingia kwenye game leo hii wanamuona ***** lakin tufanye uchunguz ni vjana wa ukanda upi hili suala la zito linazd kunifkirisha kukubaliana ndan ya chadema kuna ukanda but time will tell
Kwa kukusaidia alieanzisha thread ni Gwakisa Burton Mwakasendo.
Sahihisho Dr. Slaa hana kundi, hajawahi kuunda kundi ndiyo maana hakuomba kugombea urais ila aliombwa. Kinyume ni kweli kwa ZZK. Hakuna cha kudadavua ukweli utajitenga
mia mkuu slaa makao makuu kweli na sababu ipo waz mtaani zitto waulize vijana nan kawa inspire kuingia kwenye game leo hii wanamuona ***** lakin tufanye uchunguz ni vjana wa ukanda upi hili suala la zito linazd kunifkirisha kukubaliana ndan ya chadema kuna ukanda but time will tell