FaizaFoxy, mtu mwungwana huwa anakubali ukweli hata kama haukidhi matashi yake.
Naomba usome taarifa vizuri, uone kwenye Tsh account kulikuwa na shs ngapi, kwenye dollar account zilikuwemo dollar ngapi, na interest ililkuwa ngapi. Utafaamu ni kwa nini CAG, amejumuisha zikafika huko.
Unaelewa kwamba kila kazi ina terms of reference? Nenda ukajiliridhishe terms of references alizopewe CAG, na terms of references walizopewa kamati ya zito. Utagundua ni kwa nini siyo contents tu bali hat format za reports zinatofautiana. Lakini kamati ya ZITO, imefanyia kazi taarifa ya CAG, ikaja na hayo yaliyosomwa jana
Swali kwako tena. Unaonaje uchukuaji wa fedha kutoka escrow wa singasinga ulifuata taratibu? Manunuzi yake ya IPTL yana legitimacy? Unatofautishaje wizi na obtainance of money by false pretenses au cheating? Fraudulent actions lina tafsiri gani labda kwako?
Ulitaka CAG, aseme nini zaidi labda?

Hujawasikia wakisema escrow zimechotwa billion 321?
Taarifa ya CAG inaonesha fedha zilizolipwa ni billion 182 tu. kama si uongo huo ni nini?
Hukuwasikia waliposema kuwa kuna wizi umefanyika? Taarifa ya CAG haikuonesha wizi wowote ule, kama si kudanganya ni nini huko?
Jaribu kuwa mkweli wa nafsi yako kwanza.