Zitto & Co Msiogope!

Zitto & Co Msiogope!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,554
Neno 'usiogope' katika Biblia takatifu limerejewa mara 365. Mungu anakutaka wewe Zitto, Filikunjombe, Bulaya, Lissu, Kafulila na Kigwangala na Mpina MSIOGOPE katika kupigania haki za wanyonge na tena MSICHOKE maana uhuru wa kweli umekaribia. Zitto kesho unaenda kuhitimisha mjadala wa Escrow, DUA za watanzania wanyonge, bodaboda, mamantilie, wapigadebe,vinyozi, machinga nk ziko mbele yako USIOGOPE!! Simamia KWELI nchi irudi kwenye mstari, tunaamini Zitto wa ESCROW ndiyo yuleyule Zitto wa Buzwagi.
 
Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
 
Tuko pamoja sana pac myatikomeze mafisadi yote ktk nchi hii.
 
Unaweza kusema wamedanganya kwa kuwa unatamani iwe hivyo. Lakini mimi naamini kwamba yuko MUNGU mmoja tu aishiye milele na ni yeye aliumba mbingu na nchi Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Israel na Mungu wa Bwana Yesu Kristo aonaye hata yaliyo sirini.

Ninaomba uniambie, wewe unamsingi upi wa kudiriki kusema kwamba CAG, PCCB , na TRA ambao ndio primary source ya taarifa ya PAC kwamba ni waongo? Wewe unachanzo gani cha kweli kinachokupa tofauti na audited reports za CAG? Naomba useme bila jazba wala matusi.

Unaweza kusema muhongo amesema kweli. Ni nini chanzo cha taarifa ya muhongo ambacho ni cha kweli kuliko chanzo cha PAC?

Unawezaje kuamni report ya Muhongo ambayo haijawa audited ukakataa taarifa ya CAG ambayo imekaguliwa rasmi kama hakuna tatizo mahala fulani?

Ni nini maoni yako juu ya supporting documents za magumashi alizo attach muhongo kwenye taarifa yake?? Kama anajustifications za hadith yake, kwa nini hajasuport hata hoja moja? Badala yake ametoa wrong references. Huoni kwamba huu si uwongo tu bali ni dharau iliyokithiri kwa audience?

Tafadhali FaizaFoxy.

Sihitaji mtu aonewe, lakini kweli ya Mungu itawale.

Hujawasikia wakisema escrow zimechotwa billion 321?

Taarifa ya CAG inaonesha fedha zilizolipwa ni billion 182 tu. kama si uongo huo ni nini?

Hukuwasikia waliposema kuwa kuna wizi umefanyika? Taarifa ya CAG haikuonesha wizi wowote ule, kama si kudanganya ni nini huko?

Jaribu kuwa mkweli wa nafsi yako kwanza.
 
Naomba TV wawe wanaandika summary za cv za wachangiaji wa bunge ili tufahamu namna ya kumanage maudhi yanayoweza kuwa hatarishi kwa afya zetu, ikiwa tutachukulia serious michango ya wachangiaji wote. Kweli wanaudhi sana wengine.

Lakini nakuja kuona ni kwa sababu ya low profiles na hivyo uwezo mdogo wa kuelewa na kuchanganua hoja.

Ninashangaa ni kwa vipi mbunge asijue majukumu ya waziri mkuu na wapi ameshindwa kazi yake inayompelekea ajiudhuru. Eti hadi awe amesign mahali, wengine hakuhusika kwenye ununuzi wa mitambo. Ni ujinga mtupu!.
 
Kosa lipi alilofanya Waziri Mkuu?
 
Unafikiri kwa nini Chenge amelazamisha kwenye katiba pendekezwa mbunge ukisha jua kusoma na kuandika kama Nchambi na Lusinde hiyo ni tiketi tosha. Ccm wanafaidika sana na wabunge wa hivi ni rahisi kuwatumia na kuwatumikisha bila kuhoji.
 
Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
Hata UHURU wa Tanganyika kumbukumbu zinaonyesha 'WAPO' walioupigania lakini historia inaonyesha 'YUPO' alieuleta,tafakari! Ukombozi wa KWELI hauji kirahisi hata Mussa alivyotenda miujiza Farao naye alifanya uchawi lakini mwisho ushindi ulipatikana! So usiduwazwe na mbwembwe za Muhongo, UkIpewa BANDIA ni lazima uijue HALISI ndio utaweza 'kutofautisha'
 
Wewe umefilisika hoja, hapa kuna watu wamerusha tuhuma za wizi, Jee uko wapi huo wizi? au mlitaka umeme wa bure?
 
Unaweza kusema wamedanganya kwa kuwa unatamani iwe hivyo. Lakini mimi naamini kwamba yuko MUNGU mmoja tu aishiye milele na ni yeye aliumba mbingu na nchi Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Israel na Mungu wa Bwana Yesu Kristo aonaye hata yaliyo sirini.

Ninaomba uniambie, wewe unamsingi upi wa kudiriki kusema kwamba CAG, PCCB , na TRA ambao ndio primary source ya taarifa ya PAC kwamba ni waongo? Wewe unachanzo gani cha kweli kinachokupa tofauti na audited reports za CAG? Naomba useme bila jazba wala matusi.

Unaweza kusema muhongo amesema kweli. Ni nini chanzo cha taarifa ya muhongo ambacho ni cha kweli kuliko chanzo cha PAC?

Unawezaje kuamni report ya Muhongo ambayo haijawa audited ukakataa taarifa ya CAG ambayo imekaguliwa rasmi kama hakuna tatizo mahala fulani?

Ni nini maoni yako juu ya supporting documents za magumashi alizo attach muhongo kwenye taarifa yake?? Kama anajustifications za hadith yake, kwa nini hajasuport hata hoja moja? Badala yake ametoa wrong references. Huoni kwamba huu si uwongo tu bali ni dharau iliyokithiri kwa audience?

Tafadhali FaizaFoxy.

Sihitaji mtu aonewe, lakini kweli ya Mungu itawale.

Mpendwa I salute you,siongezi neno ila nasema,Mungu wa Uzima akuinue kwakweli kwa amani yake na kweli.
 
Ukistaajabu ya BMK, utaona ya Bunge la jamhuri. Actually, leo ndio nimepata sura halisi ya bunge let likoje.

Kuna haja ya kurefine sana sifa za wagombea ubunge ili tupate watu sahihi kwa majukumu ya bunge.

Leo kwa sababu suala linaloongelewa ni la kitaalamu, u kilaza wa wabunge wengi ambao wanatoka ccm umejianika. Hawanahoja wanaishia kuongea kwa jazba, kulazimisha ili mradi wanatetea wanaccm wenzao bila hata kuona wanavyojichora kwamba ni vilaza.

Wabunge wa upinzani, japo ni wachache wanaongea hoja nyingi kwa vielelezo.

Maskini wabunge wa ccm hata hawafahamu maana wala umuhimu wa vielelezo. Sijui ccm inatumiaga vigezo gani kupata wabunge wake. Ni vigumu kuelea kama waliochangia leo ni wabunge au ni kitu gani.

Wengi wameshindwa kutofautisha authenticity ya taarifa ya CAG, na taarifa isiyokuwa na authenticity yoyote aliyowasomea muhongo. Wanaona zote ni taarifa tu maadamu mtu kasema. Hata pale Mhongo alipo attach wrong references kuwahadaa, hawalitambui, wao wanaona ni vielelezo tu.

Kweli ni fedheha kubwa kuona mtu anapewa kuchangia katika suala kama lile lenye evident disparities na illegalities anaanza kusema, tuweke ka utaratibu kwa kulindana kwa sababu kufukuzana huku leo kwangu leo kwako. Lugha zile zile za ccm zilizolifikisha taifa hapa.

Kwa kweli components za wabunge wa ccm ni fedheha kwa taifa na aibu kubwa.

Lakini, nakumbuka Mama Makinda alisema kwamba bunge lina diversity kubwa. Ninaimani atakumbuka hili na kwamba kwa kuzingatia uhalisia na unyeti wa suala lililoko mezani, na uwezo wa ufahamu wa wabunge kwa jambo la kitaalam kama lile,, na athari zake kwa taifa ndani na nje ya nchi, ninaamini uongozi wa bunge hautaliamua kishabiki kama vile wanafanyaga.

Ninaamini wataamua maamuzi ya kitaalam bila kujali wingi wa kura zinazopigwa kwa sababu suala hli liko juu ya uwezo wa ufahamu wa wabunge wengi wa ccm ambao ni wengi.

Ninajua uongozi wa bunge utaamua maamuzi ya kuishauri serikali ushauri sahihi wa kitaalam na si kishabiki kama inavyoonekana kwenye michango. Na kwamba uongozi wa serikali utaamua maamuzi sahihi ya kuwawajbisha wote waliohusika katika migawo,, waliofanikisha na hata waliozembea ili kuweka msingi safi wa uendeshaji serikali kwa kesho na pia kwa ajlii ya image ya serikali.

Kinyume cha pale ni aibu kubwa na fedheha!.

Unafikiri kwa nini Chenge amelazamisha kwenye katiba pendekezwa mbunge ukisha jua kusoma na kuandika kama Nchambi na Lusinde hiyo ni tiketi tosha. Ccm wanafaidika sana na wabunge wa hivi ni rahisi kuwatumia na kuwatumikisha bila kuhoji.
 
FaizaFoxy- wewe ndiye unaewaanza wenzako
Pili ulishasema kuwa wewe ni CCM damu
Wewe mwenyewe unatumia lugha zisizo na staha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom