Zitto bado ruzuku ya ubunge inaingia CHADEMA?

Zitto bado ruzuku ya ubunge inaingia CHADEMA?

zzk anajiandaa kuaj na act,tumsubiri. Kama anadhani wasaliti wenzie watamuunga mkono mpaka mwaisho,ataipata fresh

What goes around also comes around mkuu time will tell let's wait and see
 
Hata mimi ningekuwa zitto ningeendelea kukaa kimya halafu ningejipanga kwa mwaka 2015!
 
Kwani ubunge aliupata wapi kama ni chadema ruzuku ni haki ya chadema au unataka ipelekwe kwa magamba.
 
Zitto bado ni mwanachama halali wa Chadema, chama kimemsimamisha kwamda kutojishughulisha na siasa za chadema tu. Bado ni mwanachama

......Acha kudanganya watu sisi watu wazima!!! maboss wako wakikusikia utajuta kusema haya....
 
Zitto bado ni mwanachama halali wa Chadema, chama kimemsimamisha kwamda kutojishughulisha na siasa za chadema tu. Bado ni mwanachama

Hilo ndilo jibu nililotaka kuhakikishiwa kwamba ruzuku ya wabunge haijapungua kuingia hazina Chadema tokana na Zitto kutengwa na chama chake.
 

Kama ilivyo kwa mbunge wa CUF, NCCR Mageuzi na sasa Zitto, kwa vile ngazi ushindi kiti cha ubunge kisiasa ilikuwa Chadema, na ubunge upo kwa miavuli ya kichama kwa mazingira ya sasa, licha ya kutoshirikishwa masuala ya chama kama ilivyotokea, hesabu ya ruzuku toka serikalini kwenda vyama vya siasa kadiri ya jedwali ya kura za Urais, ubunge na madiwani, dhahiri Zitto bado anainufaisha Chadema hata kama yupo ndani ya mkakati wa chama chake kipya.

Ndio waliompeleka kule!
 
wana jf hatuna hoja siku hizi

Ipo siku utakuja kukumbuka hoja yangu. Kwamba mbunge kwa katiba ya sasa huwa ni kwa bendera ya chama, ruzuku hupelekwa chamani, na pale mbunge anapokoma kuwa mbunge wa chama chake ruzuku inakoma chamani, kama ndivyo inapelekwa wapi.
 
Back
Top Bottom