tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimwombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Kasulu mjini kupitia Chama hicho, Martina Mturano, kutoka kwa wafanyabishara wa soko kuu la mjini wa Kasulu, Kigoma leo Oktoba 08, 2025.
Soma pia: Tazama mwitikio wa wananchi wa Kasulu katika kongamano la kuombea uchaguzi mkuu 2025
Soma pia: Tazama mwitikio wa wananchi wa Kasulu katika kongamano la kuombea uchaguzi mkuu 2025